Hivi vinywaji vina-trend siku hizi, hivi wanaume wanaruhusiwa kunywa?

Bro ukianza habari za vinywaj vya kike na kiume utasumbuka Sana. We kunywa unachopenda na hakuna atakae kuuliza kitu. Mademu wenyewe wanakunywa mpaka bapa. Hakuna kinywaji cha kike wala kiume ni perception tu za waswahili.
 
Mademu wenyewe wanakunywa mpaka bapa!
 
Nadhani muhimu kujiuliza kwa nini wanawake wanaipenda.

Kama sababu haina ukakasi we piga.

Ila kumbuka unywaji wa pombe ni hatari kwa afya yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…