Watu ni wapumbavu sanaBro ukianza habari za vinywaj vya kike na kiume utasumbuka Sana. We kunywa unachopenda na hakuna atakae kuuliza kitu. Mademu wenyewe wanakunywa mpaka bapa. Hakuna kinywaji cha kike wala kiume ni perception tu za waswahili.
Ndiyo.. Wanaume pale kitambaa cheupe naonaga wakinywaUkienda viwanja, naona wadada wanavifakamia kweli, wanaume wanaruhusiwa kweli?View attachment 3445426
Faza Nelly angekuwa hai angekutukana tusi la kukumbusha wewe ni mwanaume lazima utambue kama ilivyo kuna nguo za kike basi ndivyo ilivyo kuna vinywaji vya kike. Mwanaume lazima ujue kujitofautisha by natureBro ukianza habari za vinywaj vya kike na kiume utasumbuka Sana. We kunywa unachopenda na hakuna atakae kuuliza kitu. Mademu wenyewe wanakunywa mpaka bapa. Hakuna kinywaji cha kike wala kiume ni perception tu za waswahili.
ChatGPT Answer:
Naskia kuna mpaka 5GBro ukianza habari za vinywaj vya kike na kiume utasumbuka Sana. We kunywa unachopenda na hakuna atakae kuuliza kitu. Mademu wenyewe wanakunywa mpaka bapa. Hakuna kinywaji cha kike wala kiume ni perception tu za waswahili.
Mzee huo mi mtazamo wako wewe, hakuna kinywaji kinachotengenezwa based on gender. Kama kipo tuambie hapa scientifically na sio kwa mtazamo wako wa kiswahili.Faza Nelly angekuwa hai angekutukana tusi la kukumbusha wewe ni mwanaume lazima utambue kama ilivyo kuna nguo za kike basi ndivyo ilivyo kuna vinywaji vya kike. Mwanaume lazima ujue kujitofautisha by nature