Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Pamoja na mabaya mengi yanayotajwa kutoka kwa Magufuli lakini kuna mahali tunafikishwa na viongozi wetu tunadhubutu kusema yule bwana alikua zaidi ya kiongozi.
Kinachoendela sasa Amri ya serikali kufuta baadhi ya vijiji kata kinatoa tafakari mpya juu ya viongozi wetu dhidi ya maazimio yao ya jana na ya leo na hatma ya kesho.