eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
vitabu vifuatavyo, wengine wanaita kanuni ya pili, wengine wanaviita apokrifa, nivitabu ambavyo unaweza kuvisoma tu kama kujifunza kitu fulani ambacho kinaweza kuwa kweli au sio kweli.
kwa nini, kwa sababu huwezi kujifunza huko imani ya Yesu Kristo ambayo inatokana na uvuvio wa Roho Mtakatifu.
Vitabu hivyo ni utunzi wa binadamu ambao hawakuwa na Roho Mtakatifu wakati wanavitunga.
Tobiti
Yudithi
hekima ya solomoni
Sira
Baruku
Makabayo
kiufupi vitabu hivi ni hadithi tu zilizotungwa na watu kutufundisha historia zilizopita ambazo watu walipigana vita vya kidini na kisiasa, kinyume kabisa na imani ya Yesu Kristo ambayo inatufundisha kuhubiri injili ya Upendo, Amani, na furaha kwa watu.
kitabu kingine kinachoonekana hakiwezi kumjenga mtu katika imani ya Yesu Kristo ni kitabu kilipewa jina la henoko babu wa 7 kiimani.
hiki kitabu kwa mara ya kwanza kilipatikana huko Ethiopia, kikiwa kinasemekana ni kitabu cha henoko, lakini hakuna uthibitisho mpaka leo.
kitabu hiki kilipelekwa kutafsiriwa huko England na matoleo kadhaa yalitoka kwa sababu kilikuwa katika lugha ya kiethiopia.
Kitabu hiki kina uongo mwingi sana.
mojawapo ni kusema Malaika walishuka kutoka mbinguni kuja kuzaliana na binadamu.
Uongo mwingine ni baada ya kuzaliana eti walikuwa na urefu sawa sawa na gorofa mia nne, huu ni uwongo mkubwa kwa sababu hakuna mwanamke anazaa watu dizaini hii. japokuwa ni kweli walikuwa majitu lakini sio kwa urefu huo.
Kwa hiyo vitabu vingine vipo tuvisome tu lakini ukiwa na Akili ya Roho Mtakatifu unagundua ni utunzi wa binadamu usio na ukweli ndani yake.
nawasilisha na Mungu awabariki mtakaoelewa na msiotaka kuelewa.