Hivi vitabu kuvisoma kawaida ni sawa ila sio kwa kumjengea mtu imani ya Yesu Kristo

Hivi vitabu kuvisoma kawaida ni sawa ila sio kwa kumjengea mtu imani ya Yesu Kristo

siku ukigundua binadamu sio hiki kimwili tulichonacho, basi utagundua pia uwepo wa Mungu .ni rahisi tu
Wewe ambaye tayari umesha gundua, leta huo ugunduzi wako hapa na uthibitisho kwamba kuna binadamu wa namna nyingine tofauti na kimwili.
 
luka ana kitu hapo kwenye luka1:2 hasimulii stori zake bali kile alichosikia kutoka kwa waliokuepo na kugundua ni kweli kabisa mambo hayo yalitokea. huyu luka alicopy na kupaste vitu vya ukweli ili kumfundisha theofilo. huyu hakutunga mwenyewe
Kwa hiyo aliongozwa na roho mtakatifu? Waliomsimulia na aliowasikia walikuwa roho watakatifu? Duh za kupewa changanya na zako!!!!
 
Biblia nzima kwanzia kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo ni utunzi wa kibinadamu, Hekaya na Hadithi za kutungwa na kusadikika tu.

Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Hakuna Mungu, Yesu wala roho mtakatifu.

Wote hawa wametungwa vichwani mwa watu tu.

Imaginations just an illusion.
Thibitisha
 
Wewe ambaye tayari umesha gundua, leta huo ugunduzi wako hapa na uthibitisho kwamba kuna binadamu wa namna nyingine tofauti na kimwili.
tuje katika hali ya kawaida mimba inaanza kucheza ikiwa na miezi mingapi, kama hujui nikwambie tu inaichukua mimba miezi 4 au mitano kucheza katika tumbo la uzazi la mwanamke.
ulishawahi kujiuliza ni kwanini hiyo miezi minne ya mwanzo mama mjamzito hasikii chochote kwa mimba aliyobeba?
 
Kwa hiyo aliongozwa na roho mtakatifu? Waliomsimulia na aliowasikia walikuwa roho watakatifu? Duh za kupewa changanya na zako!!!!
wakati wa luka, mitume kadhaa bado walikuwepo wanaishi, petro, na Yohana mtume
bila shaka anaposema alichunguza kwanza, aliwafatilia hawa watu namna walivyokutana na Kristo. alijua ni ukweli alipogundua petro na yohana mtume walokuwa bega kwa bega na Kristo. ndio akamwandikia ujumbe ule ndugu theofilo.
swala la kuwa na roho wa Mungu halina shaka petro na yohana walikuwa na roho wa Mungu ndani yao.
unaposoma kitabu msome mwandishi kwa makini, ni rahisi kujua aliandika kitu cha kweli au ni uongo
 
mfano mtu akiandika historia ya maisha yake, haongozwi na roho, waka nafsi, wala mwili bali ataanza kumuuliza mama yake kwanza. kisha maisha aliyoishi ya shule, afya, kazi,na changamoto zote alizopita wakati akiwa katika maeneo hayo na namna alivyoweza kuzikabili na kuzitatua ili kuwapa moyo wengine wanaoweza kupitia hali kama yake.
 
Suap
wakati wa luka, mitume kadhaa bado walikuwepo wanaishi, petro, na Yohana mtume
bila shaka anaposema alichunguza kwanza, aliwafatilia hawa watu namna walivyokutana na Kristo. alijua ni ukweli alipogundua petro na yohana mtume walokuwa bega kwa bega na Kristo. ndio akamwandikia ujumbe ule ndugu theofilo.
swala la kuwa na roho wa Mungu halina shaka petro na yohana walikuwa na roho wa Mungu ndani yao.
unaposoma kitabu msome mwandishi kwa makini, ni rahisi kujua aliandika kitu cha kweli au ni uongo
Suala hapa ni je luca alivuviwa na roho mtakatifu au alifanya utafiti na kusimuliwa na watu aidha walioshuhudia au kusimuliwa na wao juu ya habari za yesu. Luca anakiri mwenyewe kuwa kasimuliwa wewe unamtetea kuwa aliongozwa na roho mtakatifu. Kipi sasa tukiamini story yako au story yake yeye aliyesimuliwa?
,
 
Whether you like it or not bible is just a story written by people kwa utashi nq maono yao na si kuongozwa na roho mtakatifu. Hayo ya kuondoleww baadhi ya vitabu ni kwakuwa waliotuletea kitabu hicho cha biblia walitakata tujue vitu fulani na vingine tusivijue. Walikuwa na malengo yao binafsi waliyotaka sisi tuyaamoni that's why kila siku tunatafuta point za kutetea malengo yao ili yale yaliyo nje kila mtu ayaone hayakufaa in any means.

Waliotoka nje ya box waliona ukweli na ndio maana challenges ni nyingi sana za kuichallenge bible yenyewe. At the same time bible inajicontradict yenyewe ndio maana nabaki kusema hawakushushiwa na roho mtakatifu isipokuwa waliandika kwa utashi wao kulinganq na jinsi kila mmoja alivyoipata na kuielewa story anayoiandika. Kama wangekuwa wanashushiwa na roho mtakatifu kusinge kuwa na injili nne. Lazima ingekuwa moja au hata kama zingekuwa 4 zingekuwa na mfanano wa kila kitu maana aliyewavuvia ni roho mtakatifu mmoja.

Au kwa hoja zako tukubaliane kuwa kuna roho watakatifu wengi kwa hiyo kila mmoja alimwambia mwandishi wake kulingana na alivyokumbuka cha kumwambia. Na hao roho watakatifu hata wenyewe huenda walikuwa hawajui story ya yesu kwa uhakika. Ndio maana the same story but too many contradictions.
 
Back
Top Bottom