Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Wewe ambaye tayari umesha gundua, leta huo ugunduzi wako hapa na uthibitisho kwamba kuna binadamu wa namna nyingine tofauti na kimwili.siku ukigundua binadamu sio hiki kimwili tulichonacho, basi utagundua pia uwepo wa Mungu .ni rahisi tu
Kwa hiyo aliongozwa na roho mtakatifu? Waliomsimulia na aliowasikia walikuwa roho watakatifu? Duh za kupewa changanya na zako!!!!luka ana kitu hapo kwenye luka1:2 hasimulii stori zake bali kile alichosikia kutoka kwa waliokuepo na kugundua ni kweli kabisa mambo hayo yalitokea. huyu luka alicopy na kupaste vitu vya ukweli ili kumfundisha theofilo. huyu hakutunga mwenyewe
ThibitishaBiblia nzima kwanzia kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo ni utunzi wa kibinadamu, Hekaya na Hadithi za kutungwa na kusadikika tu.
Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Hakuna Mungu, Yesu wala roho mtakatifu.
Wote hawa wametungwa vichwani mwa watu tu.
Imaginations just an illusion.
Nithibitishe nini?Thibitisha
tuje katika hali ya kawaida mimba inaanza kucheza ikiwa na miezi mingapi, kama hujui nikwambie tu inaichukua mimba miezi 4 au mitano kucheza katika tumbo la uzazi la mwanamke.Wewe ambaye tayari umesha gundua, leta huo ugunduzi wako hapa na uthibitisho kwamba kuna binadamu wa namna nyingine tofauti na kimwili.
wakati wa luka, mitume kadhaa bado walikuwepo wanaishi, petro, na Yohana mtumeKwa hiyo aliongozwa na roho mtakatifu? Waliomsimulia na aliowasikia walikuwa roho watakatifu? Duh za kupewa changanya na zako!!!!
Suala hapa ni je luca alivuviwa na roho mtakatifu au alifanya utafiti na kusimuliwa na watu aidha walioshuhudia au kusimuliwa na wao juu ya habari za yesu. Luca anakiri mwenyewe kuwa kasimuliwa wewe unamtetea kuwa aliongozwa na roho mtakatifu. Kipi sasa tukiamini story yako au story yake yeye aliyesimuliwa?wakati wa luka, mitume kadhaa bado walikuwepo wanaishi, petro, na Yohana mtume
bila shaka anaposema alichunguza kwanza, aliwafatilia hawa watu namna walivyokutana na Kristo. alijua ni ukweli alipogundua petro na yohana mtume walokuwa bega kwa bega na Kristo. ndio akamwandikia ujumbe ule ndugu theofilo.
swala la kuwa na roho wa Mungu halina shaka petro na yohana walikuwa na roho wa Mungu ndani yao.
unaposoma kitabu msome mwandishi kwa makini, ni rahisi kujua aliandika kitu cha kweli au ni uongo