Hivi vitabu wanavyotumia watoto wetu ni tatizo sana

Ahmed Saidi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
1,588
Reaction score
3,487
Nilikuwa namfundisha mtoto wa sister mara nikafika kwenye jedwali hilo hapo chini, Sasa kila nikitafuta majibu naona chenga,dah sijui ni mimi kilaza au kitabu ndio kina shida?

Kama kitabu ndio kina shida kwanini hivi vitabu vipo mashuleni?

 
Mmh hicho kitabu ni level gani...
Pia sio kila kitabu kinafaa, watu hawana ajira wanachofanya ni kutafuta tu hela.
 
Very little to no correlation between the terms in column A and B!
What is this publication?
 
Hicho ni kitabu rasmi kilichopitishwa kwenye mitaala au ni kitabu cha ziada watu wanajinunulia tu?
 
Mmh hicho kitabu ni level gani...
Pia sio kila kitabu kinafaa, watu hawana ajira wanachofanya ni kutafuta tu hela.
Cha darasa la sita, publisher wake ni maarufu tu ila nadhani so vyema kuwataja
 
Hicho ni kitabu rasmi kilichopitishwa kwenye mitaala au ni kitabu cha ziada watu wanajinunulia tu?
Sijui ila ila publisher wa iko kitabu ana-series nyingi za vitabu ambavyo vinatumika level ya primary.
 
Ni somo gani? Darasa la ngapi?

Mwandishi ni nani?? Au ni cha Taasisi ya Elimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…