Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
- Thread starter
-
- #21
Kabisa yaani Sasa hivi watu wanaangalia pesa Kwanza, ubora haupo kabisaKama nilivyoandika hapo juu, mtaani kumejaa watu wengi wasio na ajira, kinachofanyika ni kuchangamkia fursa mkono uende kinywani.... mwisho wa siku ndio hayo matango pori yanatengenezwa.
Safi. Baadhi Vitabu vya MEP hasa darasa la sita viliondolewa na TET katika matumizi kwa sababu ya makosa mbalimbali kama hayo.English darasa la sita
Ahaa, shukrani kwa taarifa ila vip kwa madarasa mengine maana kuna shule nafundisha hivo vitabu vipo sana tu.Safi. Baadhi Vitabu vya MEP hasa darasa la sita viliondolewa na TET katika matumizi kwa sababu ya makosa mbalimbali kama hayo.
Hapo kitabu kipo sahihi?ndiyo
hakip sawa.. kwan icho kitabu n cha kiada au ziada?Hapo kitabu kipo sahihi?
sawaa ila usijisumbuw sanaa.. subir next month kama utapanda daraja au la! acha kuwaza mambo yao!. walimu wengi tunafikiria sana kazi kuliko ata maisha yetu!Ndio ni mwalimu
Nilikuwa namfundisha mtoto wa sister mara nikafika kwenye jedwali hilo hapo chini, Sasa kila nikitafuta majibu naona chenga,dah sijui ni mimi kilaza au kitabu ndio kina shida?
Kama kitabu ndio kina shida kwanini hivi vitabu vipo mashuleni?
View attachment 1818330
Kabla sija jibu. Nikuulize kwani wewe una taaluma ya ualimu?
Hatari na nusu yaaniMatch the vocabulary in Column A with its coresponding meaning..... na wala siyo .... with their coresponding...,
Kweli mwandishi huyu ni kenge tu.