Baada yakusoma huo mjadala nimeumia sana.. vijana wadogo wanaharibiwa kwa ushetani wa watuHuko kwenye soka la watoto na vijana kumeoza mno tena sana,Mzazi,Mlezi au ndugu usikubali kijana wako awe huko hasa huko kwenye Academy za Soka.
Na wewe siumwage io codeKuna watu wametoa hadi code, ni tuhuma ambazo zitaharibu taswira ya mpira Tanzania.
Wakati tunakua wengi wetu pamoja na kuwa na kipaji tuliishia njiani kwa wazazi kutaka tukazanie masomo lakini wakati mpira umeonekana mkombozi kwa vijana wazazi wanaweza kusita vijana wao wasiingie kwenye mpira sababu ya uchafu unaojitokeza.
Sina uhakika nayo, kama ni habari potofu na mimi nitakuwa na hatia kuisambazaNa wewe siumwage io code
Unaimwaga Ivo Ivo ikiwa imejifungafunga kuna watu tunaelewa tuuhSina uhakika nayo, kama ni habari potofu na mimi nitakuwa na hatia kuisambaza
Huyo ni mzee wa kispikaKwa maelezo ya mmoja wa machezaji wa hizi academy kubwa kuna viongozi kama wawili kwa nyakti tofauti walimfata dogo wakamwambia kama anataka kucheza timu ya wakubwa awaachie viongozi waishi nae then atapandishwa ktk viongozi hao mmoja ***** mmoja bahasha
Tukamkaatalia aachane nao ila kuna mwalimu mpya kaja kapenda kipaji cha dogo ndo amembakisha ktk timu kwa nguvu yake
Hii michezo waulize watoto wa magomeni tabata kinondoni na temeke watakutajia kuanzia makocha mabahasha na ******* viongozi mabahasha na ******* mpaka machezaji mabasha na *******
Wengine ni fedheha sana
Kuna msemaji wa timu kubwa tu analiwa na bosi kubwa wa timu
Sheria zinanibana na mimi ni muumini wa kutii sheria halali ila haramu huwa sizitiiUnaimwaga Ivo Ivo ikiwa imejifungafunga kuna watu tunaelewa tuuh
Kwamba alawitiwe!!?? Au sijaelewa mkuu?Kocha anamwambia kijana aende akampakue kocha
Hizi tuhuma zimezunguka muda mrefu sana hasa kwenye soka la vijana wa U17 na wasichana.Kuna watu wametoa hadi code, ni tuhuma ambazo zitaharibu taswira ya mpira Tanzania.
Wakati tunakua wengi wetu pamoja na kuwa na kipaji tuliishia njiani kwa wazazi kutaka tukazanie masomo lakini wakati mpira umeonekana mkombozi kwa vijana wazazi wanaweza kusita vijana wao wasiingie kwenye mpira sababu ya uchafu unaojitokeza.