Tetesi: Hivi Vitendo Visivyofaa kwenye mpira wetu vidhibitiwe na vichunguzwe

Utopolo
 
Mimi naona wenye hizi taarifa na wanachagua kufichaficha majina ya wahusika ndio wanaopromoti huu ujinga,, mnaficha nini,? Weka wazi watu waseme ijulikane wamalizwe basi,, code za nini,,
Btw: darslam hakuna wanaume kuna mashoga tu,, ishi sana Mamba.
 
Hivi feitoto hakuwahi kuguswa? Kuna moments huwa simwelewi
 
Enzi hizo kinondoni huyu jamaa kawafumua sana vijana Marinda 2012 _13 . Bado anafanya ushetani hadi saivi ?
Nasikia amefariki aisee

Tena huyu alikuwa anaufanya waziwazi mara ya kwanza namuona, tulienda kwenye game na team yake nakumbuka ilikuwa uwanja wa barafu nilishuhudia akiwa kampakata Golikipa wake hadharani

Nilishangaa sana aisee na ilikuwa story kubwa siku ile na nikatamani kumjua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…