Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Ni kweli kabisa,unaweza kutajiwa jina la sehemu ukafikiri ni very special ukifika unashangaa.

Hata watu sijui unasikia jina kubwa lkn choka mbaya hawana mkwanja maneno mengi maisha yamewapiga hadi unashangaa wanafanya nini mjini !.

Ukweli mchungu vijana wengi wa Dar hawana hela,hawana maisha ya maana wanabangaiza.
Wengi wao ni vijana wa mikoani wanakuja Dar kutafuta maisha wengi wao wanalala nje na kuwa na maisha magumu mji wowote ukiona vijana hawana kazi wana zurura hovyo ni vijana wakuja vijana wazawa hawezi kulala nje na kukosa shughuli za kufanya kwasababu ni wenyeji na wana connection, kwaiyo vijana wengi wanaoteseka Dar ni kutoka mikoani wanakuja Dar bila kujua wanakuja kufanya shuguli gani na watafikia kwa nani.
 
Kwa kweli tusidanganyane...Dar ni ndio lango la Jiji....
Nilifika Arusha miaka miwili iliyopita, ukiwa usiku ni kama kijiji, taa ni za hapa na pale...
Zaidi ya hapo ni vibatari kwa kwenda mbele...
Hapo nimemshobokea wife tukatembee R town, kwa kuangalia mapichapicha ya mtandaoni...huku nimemtoa kutoka kwa shamba la bibi(Malkia wa Dunia) R.I.P
Nilipata mfadhaiko na mbususu nikanyimwa usiku....
 
Nilikuwepo Dar ya enzi zilee kabla ya mafly ovaa sema namiss sana mitumba classic Mwenge pale aisee
Kwani uko ilipo hakua mitumba classic au kwanini wanawake wa mikoani hawajui kuvaa utakuta wana vaa magauni makubwa .
 
Dar imekuwa overrated kinyama

Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Ukitaka kujua uzuri wa mume/mke wako muache uone.
Toka nje ya Dar upite mikoani utaelewa Dar ni dunia tofauti na mikoani.
Pengine kulala saa 1 usiku, pengine hakuna mgahawa au sehemu ya chakula inatoa huduma hadi saa 3 usiku, hakuna vyoo vya umma, hakuna ramani ya poesa zaidi ya ajira au kilimo, n.k..
 
Dar imekuwa overrated kinyama

Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Kuna sehemu mikoani ukiwa siyo wa kabila la wenyeji wa mkoa huo unabaguliwa kupata huduma flani flani, au kuuziwa ardhi.
Dar ni pesa yako tu.
 
Sema mitaa ya uswazi Dar ina watu wapumbavu sana wasiokuwa na elimu. Inawezekana Dar ndo ina watu wengi wasiojua kusoma na kuandika. Imagine mtu wa Dar anaenda kujenga nyumba bondeni halafu mafuriko yakija anaomba serikali imsaidie...!!! Mikoani ni ngumu sana kuona mtu anajenga bondeni
 
We ndo kilaza tunaongelea opportunity we unaleta masuala ya infrastructure wapi na wapi
Comment yangu ya Kwanza nimesema hivi ' Bado tuko nyuma Sanaa nchi kubwa hivi kuwa na mkoa mmoja uliochangamka' Mantiki ya comment hii sio kushangaa Dar kuwa Dominant bali ni Dar kuiacha mikoa mingine Kwa mbali Sana. Sasa nashangaa kipi hujaelewa hapa?

Comment sio lazima iwe kwenye flow Ile ile ya mada ilivyo.
 
Back
Top Bottom