We tembelea Kona bar mademu wengi wanao jiuza wanatokea Arusha dar pesa ipo ndiyo maana dada zenu wanaongoza kwa uuzaji wa miili yao Dares salaamNyie vijana wa Dsm mlichojaliwa ni maneno mengi na michambo kama mama zetu tu.
Hata hapa ni mipasho tu
Hauna pesa usije utakuja kugongwa na magari baki huko huko uyole .Pamoja na hizo sifa ila Dar ndio Jiji linaongoza kuwa na ufirauni,maisha ya hovyo na kuwa na maskini wengi sana hapa Tanzania..
Kwa misingi hiyo hilo Jiji lilinishinda kiukweli na ambavyo watu ni wengi hadi Kero tupu..
Ni kweli vijana waliokulia Dar wanamameno yao ya mitaaniWwe hujakulia Dar,nakupinga, wwe umekulia Arusha, hadi unaandika ki Arusha!! Watu wa Dar hawana neno "kinyama" ungetumia neno "kinoma sana" ningekuelewa!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mzee toa uzoefu wako kwa vijana wapate Darasa naamini utakuwa umetembea na kuishi mikoa tofauti.Uzi wa vijana huu ngoja ninyamaze
Ambao wajanja tupeni mbinu mkuu, narudi town soon nipe mikakati mkuu wanguukiona hivyo we sio mjanja, wewe ni lelemama, mjini mipango mkuu
Wengi wao ni vijana wa mikoani wanakuja Dar kutafuta maisha wengi wao wanalala nje na kuwa na maisha magumu mji wowote ukiona vijana hawana kazi wana zurura hovyo ni vijana wakuja vijana wazawa hawezi kulala nje na kukosa shughuli za kufanya kwasababu ni wenyeji na wana connection, kwaiyo vijana wengi wanaoteseka Dar ni kutoka mikoani wanakuja Dar bila kujua wanakuja kufanya shuguli gani na watafikia kwa nani.Ni kweli kabisa,unaweza kutajiwa jina la sehemu ukafikiri ni very special ukifika unashangaa.
Hata watu sijui unasikia jina kubwa lkn choka mbaya hawana mkwanja maneno mengi maisha yamewapiga hadi unashangaa wanafanya nini mjini !.
Ukweli mchungu vijana wengi wa Dar hawana hela,hawana maisha ya maana wanabangaiza.
Kikubwa jitafute vizuri mkuu, mjini ni watu na mipango mkuuAmbao wajanja tupeni mbinu mkuu, narudi town soon nipe mikakati mkuu wangu
Dar wasukuma siyo wengi yani Mademu wakisuma, wa kimasai kuwapata Dar ni ngumu sana, ila sasa madeni wa Arusha wapo wengi wanauza K.Yaani bila kutaja mangosha hulali usingizi. Kwani wanaoishi Dar umeona ni wasukuma tu ?
Nijitafute kivipi mkuuKikubwa jitafute vizuri mkuu, mjini ni watu na mipango mkuu
Kwani uko ilipo hakua mitumba classic au kwanini wanawake wa mikoani hawajui kuvaa utakuta wana vaa magauni makubwa .Nilikuwepo Dar ya enzi zilee kabla ya mafly ovaa sema namiss sana mitumba classic Mwenge pale aisee
Wanaoshindia mlo mmja ni Dar sio mkoani.Hauna pesa usije utakuja kugongwa na magari baki huko huko uyole .
Ukitaka kujua uzuri wa mume/mke wako muache uone.Dar imekuwa overrated kinyama
Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Kuna sehemu mikoani ukiwa siyo wa kabila la wenyeji wa mkoa huo unabaguliwa kupata huduma flani flani, au kuuziwa ardhi.Dar imekuwa overrated kinyama
Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Kipato cha uwakika hukuWanaoshindia mlo mmja ni Dar sio mkoani.
Comment yangu ya Kwanza nimesema hivi ' Bado tuko nyuma Sanaa nchi kubwa hivi kuwa na mkoa mmoja uliochangamka' Mantiki ya comment hii sio kushangaa Dar kuwa Dominant bali ni Dar kuiacha mikoa mingine Kwa mbali Sana. Sasa nashangaa kipi hujaelewa hapa?We ndo kilaza tunaongelea opportunity we unaleta masuala ya infrastructure wapi na wapi
Ila kaa utambue dar imeizaa arushamkuu naona umeishiwa point umeanza taarabu...
mm namalizia kusema kwamba ukitoa bahari na hizo fly overs hakuna kitu dar itaizidi arusha..niishie hapa kwa leo
Mtu anashindwa elewa bandari ndio inaendesha uchumi wa tanzañia nzima....wao wanaringia utalii ambao hauna hata uwezo wa kuendesha nchi hata kwa wiki moja tu....dar [emoji119][emoji119][emoji119]Ndio akili za watu wa Arusha hizi
... Dar ndio kitovu cha tanzania..
kwa ukubw wa Tanzania ilitakiwe iwe na majiji walau 10 yenye hadhi sawa ama kukaribiana na DarHivi umeona hata ukubwa wa hayo maeneo ya nchi ulizotaja?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app