Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Mpigaji anajulikana mzee, na mtishaji kucheza na akili ana julikana.
 
amesahau huko dar ni matukio mangp yametokea hivi karibuni ya watu kupigwa risasi kisa ubishi na kujiona mwamba mbele ya chuma..
 
mkuu mm sina mguu wa kuku ila kwa tahadhari tu nakuonya usifanye mzaha na mtu akiwa na silaha..utakufa kizembe

turudi kwenye mada...
Poa kamanda.. DSM ni kila kitu Tanzania, ni wewe ku tune frequency zako mahala sahihi, unabutua.

Mpiga chuma mkuu anajukulina na anae cheza na saikolojia yako anajulikana. Kuna watu wapuuzi sana
 
Mpigaji anajulikana mzee, na mtishaji kucheza na akili ana julikana.

Never underestimate you're opponent.

Hiyo kanuni ukiitumia hautakufa kizembe au kushindwa kizembe.
Wengi wameuawa Kwa mtazamo huo wakwako.
Na wengi wameua bila kukusudia Kwa namna hiyo hiyo.
Mahakimu na polisi wanajua kesi za namna yako.

Mtu hata kama anakutania akiwa ameshika silaha Kam bastola, kamwe usifikiri Kama hivyo.

Ni hayo tuu
 
Muongo huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…