Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

dar kuna harakati za panya road tu...

njoo arusha upewe harakati za pesa ndefu..kuna ishu za madini na utalii pesa yake sio kama hizo harakati za udadali hapo dasalamu
Utalii. wawekezaji ni wazungu na wazungu wanatabia za kwenda kupata huduma sehemu za wazungu wenzie, Nyinyi mmebaki kuwa wapagazi na kuwaimbia Happy birthday wazungu wakila kike na kufurahi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Dar ni Kila kitu mazew Nina miaka 10 naishi mkoa

Nimezaliwa na kukulia dar na baadhi sehemu ya elimu yangu nilipata dar

Lakini katika hio miaka 10 ya kuishi mkoani sijawahi itoa dar moyoni.

Nimegoma kujenga mkoani.

Ndoto zangu ni dar.

Nikipata kajilikizo tu nakimbuliaga dar[emoji1][emoji1787].

Kuishi mkoani unakuwa mzembe mzembe kwenye utafutaji.

Mkoani kilimo tu kama hakuna fursa ya kilimo labda uwe mganga.
 
We kama mimi [emoji1787]

Mimi nimeipenda Mwanza, kuna mikoa ni mizuri tu.. ila sisi tumakariri Dar.

Ila mdogo wangu Dar humtoi, tumepigizana kelele wakati wa confirmation za chuo mpaka Ardhi yake imeshinda
Anakwambia sasa mimi naanzaje kuishi mkoani.
Mkuu mikoani ikifika saa mbili watu wote wanaenda Majumbani kwao kingine mikoani miji ni midogo kila siku unakwa upo sehemu moja inachosha unakuwa kama mtoto changa kila siku upo nyumbani siku akitoka kwenda clinic na kurudi nyumbani, sasa kijana aliyezoea dar uwanja mpana unakula kwa urefu wa kamba yako, si unaona Serikal imeamia Dodoma lakini kila Ijumaa watu wapo dar na V8

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mikoani ikifika saa mbili watu wote wanaenda Majumbani kwao kingine mikoani miji ni midogo kila siku unakwa upo sehemu moja inachosha unakuwa kama mtoto changa kila siku upo nyumbani siku akitoka kwenda clinic na kurudi nyumbani, sasa kijana aliyezoea dar uwanja mpana unakula kwa urefu wa kamba yako, si unaona Serikal imeamia Dodoma lakini kila Ijumaa watu wapo dar na V8

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Serikali imeacha familia Dar ndio maana wanarudi sana…

Mkoa gani huo watu wanaenda nyumbani saa 2? Niko mkoani lkn nyumbani naendaga hata saa 10 alfajiri 🤣

Basi tuseme na sisi wengine tuna sababu zinazopelekea Dar tupaone kawaida..
mm binafsi, lile jua linavyowaka + mafoleni mimi kwa kweli Dar nakuja Kupenzika na kusalimia 🙌
 
Geneva my foot...yani DSM ukisuka mipango yako vizuri milioni 50 hizi hapa unazichungulia issue ni kukutana na watu sahihi kwenye harakati zako...unajua watu wa DSM wanaweza kukupa hata ramani za kutoka ila huko mikoani watu wanakunja sana...😂😂😂
Pesa za hivyo ni za WIZI na nyingi zinatokana na upigaji kwenye vyanzo vya pesa za serikali a.k.a kulamba asali.
Enzi za jiwe watu wa aina hii walikimbia mji.
 
Serikali imeacha familia Dar ndio maana wanarudi sana…

Mkoa gani huo watu wanaenda nyumbani saa 2? Niko mkoani lkn nyumbani naendaga hata saa 10 alfajiri [emoji1787]

Basi tuseme na sisi wengine tuna sababu zinazopelekea Dar tupaone kawaida..
mm binafsi, lile jua linavyowaka + mafoleni mimi kwa kweli Dar nakuja Kupenzika na kusalimia [emoji119]
Mikoani hakuna huduma masaa 24hr, huwezi ukaamka saa nane usiku ukaenda kununua dawa, kinga, hata chakula, uko Arusha itabidi uende umbali mrefu kuvipata hivyo vitu na una weza husivipate na uko mikoani Huwezi kuamka saa 5 alfajiri ukapata soupo au chai kama unawai sehemu una njaa itabidi usubiri mpaka saa mbili maduka yafunguliwe ni tofauti na dar ukiitaji kitu kinapatikana kwa wepesi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mie ni Old School na nilizaliwa Dar nikasoma arusha kwa miaka 6 form 1 -6, baadae nilikaa kidogo Arusha baada ya skuli., Kuilinganisha Dar na Arusha kipesa na mzunguko wa pesa ni kuikosea adabu Daslama. Daslama ndio mwisho wa mambo yote halafu kingine toka kitambo sana jamaa wa Arusha uwaga washamba washamba hivi wana mambo ya kizamani hivi kama kugombea mademu, kuoneshana vitu vya kijinga ambavyo kwa Dar ni vya kawaida. Dar ndio le capitale, hio Dodoma itabaki jina tu ila wajanja wote wa nchi wapo Daslama. Mikoani ni kwa wastaafu kuzuri kuishi lakini sio kwa vijana wa kazi.
 
Sio kweli bila jitihada na kujiongeza hutoboi, ukiwa mtu wa jitihada na kujiongeza unazipata hizo connection
Mwaka 2001 moja ya mstari wa Prof Jay katika wimbo wake wa Bongo Dar es Salaam alisema;

"Katikati ya jiji hata ufikiri deal haziji, ukitaka ku win bongo cheza deal na wale magwiji"

Hapo alikuwa anazungumzia suala la connection
 
mkuu mm sina mguu wa kuku ila kwa tahadhari tu nakuonya usifanye mzaha na mtu akiwa na silaha..utakufa kizembe

turudi kwenye mada...
Yeye akishatishia maisha ya mwenzake analindwa na sheria gani?!

Mimi hapo hapo tukimalizana anakwenda kuongea na bwana jela. Siwezi muacha salama
 
Back
Top Bottom