vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Ok unanafasi ya kufanikiwa lidhani upo above 50
29 years old with two sons
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
29 years old with two sons
Arusha njaa kali..na ushamba mwingi mtu anaua mtu kisa demu...🤣🤣🤣🤣Ni kweli nilipata demu Arusha nilikuwa namtoa pesa akawa anashangaa pesa yenyewe ndogo tu, akawa anasema vijana wa kwao Arusha kukupa 5000/= Ni ngumu wana roho ngumu kwenye kutoa akasema Dar unaweza kumuomba mtu pesa akakupa tofauti na kwa Arusha unaweza kuuwawa kwa ajili ya 5000 tu uliyokopeshwa.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
ficha ujinga wako mkuu...arusha unajua kuna makao makuu ya ofisi ngap za kimataifa ukiacha tu hizo za kitaifa?Arusha ukitoa mbuga na madini kuna nn cha zaidi
Dar ukitoa bahari na flyovers unazosema ofisi za serikali na kampuni kubwa za binafsi zote zipo dar
ww kwenu wapi mkuu?[emoji41]Arusha jiji la kiduwanzi sana, yaani kuonana na wazungu ndio ishu kwao
mkuu naona umeishiwa point umeanza taarabu...Sasa hayo madini ya huko mirerani ndo utaja muongopea nani? Yanakopatikana madini watu ni choka mbaya hatari...ushirikina wa kufa mtu..kwenye utalii vijana wa arusha mnajirahisisha kwa vibibi wa kizungu...ya hearrrdd...[emoji3][emoji3][emoji3]
Mzee mbona wengine tumezaliwa Dar, tunesoma kuanzia vidudu moaka chuo kikuu Dar..mikoani kwenu huku tumezunguka zunguka sana lakini hauna cha kutuambia kuhusu Dar..tupo mikoani nyumba tunajenga Dar..yani investments zote ni Daslam...unatuweka kwenye kundi gani? Ukizaliwa Dar ukaja kutoka na kuishi mkoani ndo unaanza kuona umuhimu wake....Watu waliozaliwa dar na kusoma dar mpaka chuo hawapataki hata kupaona dar ila kina ngosha wakija kusoma dar na washamba wengine hawataki kurudi makwao
NB:ukiona mtu hataki kuondoka dar ujue huyo sio mzawa wa mkoa huo wazawa wengi hawapapendi dar baada ya kumaliza safari yao ya kimasomo hao ni wakuja ndo wanang'ang'ania jiji
Arusha inaizidi dar kwa baridi tu bruh hakuna kingine na hizo timbili mnazoringia huko mbugan watu wameanza kuziamishia huku mjini 😀ficha ujinga wako mkuu...arusha unajua kuna makao makuu ya ofisi ngap za kimataifa ukiacha tu hizo za kitaifa?
inaonekana ww civics ilikupitia pembeni
Basi hakuna tabu chaliiangu...tutaja onana weekend huko nipo hapa KIA wala hakuna tabu...😀😀😀mkuu naona umeishiwa point umeanza taarabu...
mm namalizia kusema kwamba ukitoa bahari na hizo fly overs hakuna kitu dar itaizidi arusha..niishie hapa kwa leo
Bila shaka wewe utakuwa panya road, naona unataja silaha za jadi zinazotumiwa na panya road. Panya road wanatumia mapanga, mashoka, bisibisi, visu na marungu. Wewe unatuambia Dar kusuuza rungu ni rahisi, sio maandalizi ya panya road hayo kweli? Usiongee kijanja, kuna wajanja zaidi yako. Unaleta habari za kusuuza rungu kumbe unajiandaa na vitendo vya upanya road. Unaleta janja ya nyani kula mahindi mabichi? Ulikolalia sisi tumeamkia!Ukiondoa maisha ya unga mwana niliyonayo kitu kingine kinachonipa msongo wa mawazo ni kutokuishi Dar es salaam. Nilikuwa nikisikia na kushuhudia watu wameacha kazi kisa tu wamepangiwa vituo vya kazi vya mikoani nilikuwa nawaona kama ni mental case kumbe mimi ndiye nilikuwa sijui what it means to live in city of Dar es salaam. Now I Know licha ya udogo wa geographical area ya Dar es salaam still ndio Mkoa wenye population kubwa compared to other places in Tanzania.
Once my father told me alikuwa akiishi Ubungo Maziwa miaka 1980, ni miongoni mwa stori zinazoniumiza sana mimi na kunifanya nijiulize maswali mengi na kuhitimisha kuwa at some point kila mtu kwenye maisha yake anafanya mistake kama sio mistakes. It's doesn't make any sense miaka ya 80 unahama Dar es salaam unaenda kuishi Namtumbo ambako mpaka leo kuna mapori je miaka ya 80 it's means jirani zetu walikuwa wanyama pori, baba nakupenda sana ila kwa hili you deserve to be blamed.
Hii ni list ya vitu vilivyonifanya nigome kutoka Dar es salaam.
1. Dar es salaam ndio sehemu pekee inayokupa easy access ya kuchase dreams zako jaribu kufanya utafiti mdogo watu wengi waliofanikiwa kwenye nyanja tofauti nchini Tanzania makazi yao ni wapi(tofautisha kati ya asili na makazi).
2. Ile interaction ya kukutana na watu wa aina tofauti inakufanya uchangamke na uwe extra care maanake unajua ukizubaa umepigwa.
3. Naomba hapa nikazie kama wewe ni Mwanaume mtafutaji basi sehemu sahihi ya kuwepo ni Dar es salaam. Why kusuuza rungu ni moja kati ya basic need ya Mwanaume yoyote bila kujali financial status yake(tajiri & masikini) sasa jijini Kila kata Kuna danguro, bajeti ya kuosha rungu inakuwa chini compared to other places In Tanzania.
4. Zamani nilikuwa naamini jijini chakula ni bei ghali kumbe zilikuwa ni propaganda za watu wa binafsi wasio penda watu wa mikoani tuje Dar. Ni wapi Tanzania hii unapata Ugali na mboga drafts kwa shilling za kitanzania 1000 tu believe me hakuna hata kule panapotoka mazao yenyewe. Wigo mpana wa kuchagua ule nini. kuna mikoa kama sio mlaji wa ugali au wali basi jiandae kulala njaa.
5. Kupendeza ni jambo jepesi kuliko kutopendeza Kila sehemu zinauzwa nguo tena latest kwa cheap price. Mimi katika maisha yangu sikuwahi kuwa na nguo begi mbili lakini Dar es salaam mtu ambaye ni Jobless ana mabegi 5 ya nguo.
Mwisho Asante sana shemeji kunifukuza kwako ila just believe me next year nitakuwa huko kuanza maisha yangu Mimi kama BabaMorgan. Tena usije ukashangaa nimepata apartment Posta afu wewe utabaki huko huko kwenye Panyaroad.
poa chali angu gwara sanaa[emoji109][emoji109][emoji41]Basi hakuna tabu chaliiangu...tutaja onana weekend huko nipo hapa KIA wala hakuna tabu...[emoji3][emoji3][emoji3]
Kia stand kia airport?Basi hakuna tabu chaliiangu...tutaja onana weekend huko nipo hapa KIA wala hakuna tabu...[emoji3][emoji3][emoji3]
Mpe onyo huyoNever underestimate you're opponent.
Hiyo kanuni ukiitumia hautakufa kizembe au kushindwa kizembe.
Wengi wameuawa Kwa mtazamo huo wakwako.
Na wengi wameua bila kukusudia Kwa namna hiyo hiyo.
Mahakimu na polisi wanajua kesi za namna yako.
Mtu hata kama anakutania akiwa ameshika silaha Kam bastola, kamwe usifikiri Kama hivyo.
Ni hayo tuu
KIA Stand au KIA Airport si bado ni KIA mkuu ama?...🤣🤣🤣Kia stand kia airport?
Sawa sawa utalii utaongezeka ktk mbuga za dar.Arusha inaizidi dar kwa baridi tu bruh hakuna kingine na hizo timbili mnazoringia huko mbugan watu wameanza kuziamishia huku mjini 😀
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwisho Asante sana shemeji kunifukuza kwako ila just believe me next year nitakuwa huko kuanza maisha yangu Mimi kama BabaMorgan. Tena usije ukashangaa nimepata apartment Posta afu wewe utabaki huko huko kwenye Panyaroad.
Duuuh hii haina kupepesa macho.Haa haaa.Subiri waje washamba wa Arusha wanavyotoa povu