smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
nimekuja mbio kusoma comment yako nikidhani vijana wenzio wa mikoani watakuwa wamekupa likes nyingi.nimepigwa na butwaa kwa hali niliyoikutaFrom my experience, dar inakufaa kama ukiwa na pesa tu.
Kama huna kwako huo mji niwa moto sana.
1: kama huna pesa hakuna mbususu za bure bure kama mikoan. Wanawake wengi wapiga mizinga.
2: vijana wa dar wanatumia kwa wingi vega, viksi kingo maarufu kama, chocolate n.k
3: kwa mtu asiye kua na pesa chakula chake always kitakua wali maharage, ugari dagaa tena wakwa mama ntilie.
4:Hali ya hewa ya dar kama huna pesa ni mateso lile ni tanuru la moto, inafikaga pahara hata feni zina sizi.
3: chakula kama samaki ni ndoto za abnwasi kama huna pesa.
Vijana wa dar wanapendelea kula, wali maharage, ugali mishikaki, chips mayai au chips kavu na soda.
Kwa dar huwezi pata maji ya kunywa yenye radha asilia kama ya kismani.
Na ukiwa umepanga huna kisima ndo basi labda usubiri mvua.
Gharama za maisha hasa nyumba za kuishi zipo juu, hivyo hupelekea vijana wengi kuishi maeneo ya pembeni kama temeke ndani ndani kule kama chamanzi, mbande, buza, tandika, mbagala. Tegeta ndani ndani kule, malamba. Sasa niulize kutoka huko kuja town kariakoo nenda rudi mtu anatumia sh ngap.
[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]