Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Li nchi li kubwa hivi halafu Ka mkoa kamoja ndio kamechangamka , tuko nyuma sanaaaa.
Hata ukienda u.k London ndo kila kitu, same kwa France paris ndo kila kitu na ndo matajiri wengi wanaishi uko, ukienda south Africa Johannesburg ndo kila kitu, ukienda marekani new York city ndo mpango mzima Sasa nakushangaa wewe unaposhangaa dar es salaam kuwa kitovu kwa Tanzania
 
Jishangae wewe Kwa hoja yako. Nasisitiza tena tuko nyuma sanaaa. Uko U.k ,France, south A au USA yote yanayoitwa majiji ndani ya hiyo nchi karibia yanafanana kuanzia miundo mbinu na huduma za kijamii wakati sisi hapa ni hamna Kitu.
 
Hata ukienda u.k London ndo kila kitu, same kwa France paris ndo kila kitu na ndo matajiri wengi wanaishi uko, ukienda south Africa Johannesburg ndo kila kitu, ukienda marekani new York city ndo mpango mzima Sasa nakushangaa wewe unaposhangaa dar es salaam kuwa kitovu kwa Tanzania
Ndio kila kitu nini? usifananishe nchi za watu walioendelea na nchi za Dunia ya Tatu kama Tanzania. Hata kisoka tuu England timu maarufu na kubwa hazipo London

USA- mtu aliyepo LA haitaji kufata chuo kikuu NY

China - Beijing, shanghai, Guanghzou, Shenzen, yani kupo sawa tuu mtu halazimiki kwenda kwingine

Hayo mambo ya Dar, Nairobi, Lagos yapo sana Africka ambapo nchi ni masikini hivyo concentration zote zinafanyikia eneo moja
 
mfano kampuni ya apple hq, wala sio NY

Havard universty sio NY

Timu mashuhuri basket sio NY

Industry ya filamu na mziki sio NY

Meta hq sio NY

Google hq sio NY

utitiri wote kama huo kwa Africka upo mji mmoja, hivo mishe mishe zote zitakua hapo
 
Hongera kwa kuzinguka Tz ila kuna mikoa sijaiona ukiwa umefika kwenye Google Map,
kwa sasa nimebakiza sehemu mbili tu za tz, mkoa wa rukwa na kisiwa cha pemba.

maeno mengine nikifika huwa nasahau kuwasha GPS, ndio maana timeline yangu ya google map haionyeshi kama nimefika.

mwezi may nilikuwa kigoma, ilikuwa ndio mara yangu kwanza kufika mkoa huo.

the trip from tabora to kigoma was amazing and adventurous since i traveled by road.

nilikaa kigoma siku chache na kugeuza. bahati mbaya nilisahau kuwasha GPS.
 
That's good huo ndio utarii wa ndani inabidi tutembee maeneo tofauti

Je! Kwenye ile hotel iliyopo chini ya maji Zanzibar uliwahi kwenda kutalii pia?
 
Naona mnajidanganya. Uwe unataka kwamba kwenye mji Fulani, ilikika saa mbili maduka yote na migahawa yote na pharmacy zote vinafungwa. Ukisema mkoani nami nipo mkoani na Kuna migahawa ipo open masaa 24, Kuna pharmacy zinauza masaa 24 Mimi hapo sikuelewi.
Hizo huduma za masaa 24hrs ulizozitaja zinapatikana katikati ya mji au ata mitaani? Mfano Dar Sinza, kinondoni, Magomeni, Tabata watu hawalali mpka asubuhi

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Huko ni pa kutafutia pesa sio kuishi

Dsm kunanuka mavi, pachafu sana
 
Dar imekuwa overrated kinyama

Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Hao wavulana wa kiswahili wanavyosifia sasa[emoji23]

Mimi nakuja na kurudi mara kwa mara lakini kuna vijana nawakuta hapo miaka nenda rudi wapowapo tu wanaishia kupiga debe na udalali na hawajatoka kimaisha

Ila hapa wanapasifiaa, mbona wao hawajamake hizo Mil 50?

Utoto tu.
 
Unaelewa maana ya harakati? Wapi nimetaja fly over au bahari...jikite kwenye point mkuu...sehemu rahisi kutoboa ukiwa na connection sahihi ni DSM...na DSM ndo Tanzania mzee...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna mahali umesema Dsm ni rahisi kupata mchongo wa Mil 50.

Kind of B'ness pls??
 
Siku utakayotoka nje ya DSM na kukutana na watu wa mikoani ndo utaja elewa..yani upate exposure ya mikoani halafu uwe na harakati za kutoka..utaja elewa...
That's our life, we do that Day & Night

It's Overrated, ingekuwa hivyo basi vijana wote waliozaliwa Dsm wangekuwa successful

Msidanganye watu, maisha sio rahisi hivyo
 
Ni kweli nilipata demu Arusha nilikuwa namtoa pesa akawa anashangaa pesa yenyewe ndogo tu, akawa anasema vijana wa kwao Arusha kukupa 5000/= Ni ngumu wana roho ngumu kwenye kutoa akasema Dar unaweza kumuomba mtu pesa akakupa tofauti na kwa Arusha unaweza kuuwawa kwa ajili ya 5000 tu uliyokopeshwa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Nyie vijana wa Dsm mlichojaliwa ni maneno mengi na michambo kama mama zetu tu.

Hata hapa ni mipasho tu
 
Back
Top Bottom