Tembelea at least mikoa 10 tofauti na Dar Kisha rudi Dar I am telling you uta-bust kwa hasira
[*]Arusha - Longido, Monduli, Ngorongoro, Meru, Karatu & Arumeru
[*]Mwanza - Ukerewe, Magu, Sengerema, Geita, Misungwi, Kwimba, Nyamaganga & Ilemela
[*]Tabora - Igunga, Nzega, Sikonge,Urambo & Uyui
[*]Kigoma - Kasulu, Buhigwe, Kakonko, & Uvinza
[*]Tanga - Bumbuli, Handeni, Korogwe & Lushoto
[*]Moshi - Kilimanjaro
[*]Geita - Bukombe & Chato
[*]Bukoba - Kagera, Biharamuro, Karagwe, Ngara, Misenyi & Kyerwa
[*]Morogoro - Gairo, Kilombero-Ifakara, Kilosa, Mvomero, Malinyi, Ulanga
[*]Mbeya - Chunya, Kyela, Mbalali & Mbeya Mjini
[*]Iringa - Kilolo, Mafinga & Mufindi
[*]Mtwara - Masasi, Mikindani, Newala & Tandahimba
[*]Rukwa - Sumbawanga, Kalambo & Nkasi
[*]Katavi - Mpanda, Nsimbo & Mlele
[*]Ruvuma - Songea, Madaba, Mbinga, Nantumbo, Nyasa & Tunduru
[*]Dodoma - Chamwino, Chemba, Kongwa, Kondoa, Bahi & Mpwapwa
[*]Pwani - Kibaha, Bagamoyo, Kibiti, Kisarawe, Mafia, Mkuranga, Rufiji & Chalinze
[*]Njombe - Makambako & Wang'ingombe
[*]Lindi - Kilwa, Ruangwa, Nachingwea & Mtama
[*]Bariadi - Simiyu
[*]Shinyanga - Kahama, Kishapu, Msalala & Ushetu
[*]Songwe - Vwawa
[*]Mara - Musoma, Bunda, Rorya, Serengeti, Tarime & Butiama
[*]Manyara - Babati, Hanang, Kiteto, Simanjiro & Mbulu
[*]Pemba Kasikazini - Wete
[*]Pemba Kusini - Chake Chake
[*]Unguja Kasikazini - Kikokotoni
[*]Unguja Kusini - Koani
[*]Unguja Mjini Magharibi
Chagua hapo mikoa 10 tu kati ya hio iliyopo kwenye orodha kisha kaitembelee kwa ziara mkoa mmoja mmoja kisha ukimaliza rudi Dar-Es-Salaam alafu fanya tathmini zako utagundua kitu anza tena tembea sasa anzia Ubungo, Kinondoni, Ilala, Temeke mwisho nenda kapande pantoni mpaka Kigamboni...
Ukimaliza hapo fanya tathmini yako tena utapata jibu..
Umezaliwa Manzese umekulia Manzese umesoma Manzese umeanza kazi Manzese hili ndio tatizo hautembei hauwezi kuona kipi ni kipya na kipi ni cha zamani..