Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Nitafute mkuu, namba yangu ni ile ile sijabadiliNikija mjini nikutafute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafute mkuu, namba yangu ni ile ile sijabadiliNikija mjini nikutafute
Arusha ukitoa mbuga na madini kuna nn cha zaidimkuu zaidi ya fly overs na bahari kuna nn kingine hakipo arusha?
Kweli aiseee mbele ya chuma hata kama ni mtoto mdogo kama kashaniwahi itabidi niwe mpole tu 🖐🖐Atakuwa anataka, au kulikuwa na watu wengi.
Mimi kiukweli mtu akishika chuma siwezi leta lumbelele
Hiyo umesema wewe mkuu. Kwanza nauli sijakuombaKaka usije Mjini, hii kauli ifikirie sanaa
Dar kumekufanya ujue kubetiDar imekuwa overrated kinyama
Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Usiseme hivyooooSasa nenda kaishi njombe unapauka hadi k [emoji28]utakimbia mwenyewe
Mkuu mimi namaanisha connection za kupambana..ie. kwenye ujasiriamali, vipo vitu vingi hakijawa exploited ni kuamua tu ujikite kwenye jambo gani na ufanye improvement gani maisha yanasonga kabisa...😀😀😀Pesa za hivyo ni za WIZI na nyingi zinatokana na upigaji kwenye vyanzo vya pesa za serikali a.k.a kulamba asali.
Enzi za jiwe watu wa aina hii walikimbia mji.
Kupakatwa ni tabia ya mtuDar ni kutamu ikiwa unaamka asubuhi huku unajua sehemu ya kwenda kutafuta riziki. Mzunguko wa pesa ni mkubwa.
Gharama za maisha si kubwa kihivyo, labda kwenye makazi ndio gharama zipo juu ila kwenye suala la upatikanaji wa vyakula pako chini kuliko huko mikoani.
Dar ndio soko kubwa la mazao yote kutoka huko mikoani , usione ajabu ukala chungwa dar mwezi huu wa tisa wakati mikoani huko hakuna kabisa machungwa.
Gharama za ujenzi Dar ni kubwa kiasi ukizingatia standard ya nyumba zinazojengwa Dar ni za matofali ya cement compared na huko vijijini ambapo mtu anaweza kutumia matofali ya kuchoma ambayo ni cheap.
NB
DAR kama huna kazi ,ujiandae kupakatwa.
Mkoani Kama huna pesa unaweza kupata huo wali maharage ....?From my experience, dar inakufaa kama ukiwa na pesa tu.
Kama huna kwako huo mji niwa moto sana.
1: kama huna pesa hakuna mbususu za bure bure kama mikoan. Wanawake wengi wapiga mizinga.
2: vijana wa dar wanatumia kwa wingi vega, viksi kingo maarufu kama, chocolate n.k
3: kwa mtu asiye kua na pesa chakula chake always kitakua wali maharage, ugari dagaa tena wakwa mama ntilie.
4:Hali ya hewa ya dar kama huna pesa ni mateso lile ni tanuru la moto, inafikaga pahara hata feni zina sizi.
3: chakula kama samaki ni ndoto za abnwasi kama huna pesa.
Vijana wa dar wanapendelea kula, wali maharage, ugali mishikaki, chips mayai au chips kavu na soda.
Kwa dar huwezi pata maji ya kunywa yenye radha asilia kama ya kismani.
Na ukiwa umepanga huna kisima ndo basi labda usubiri mvua.
Gharama za maisha hasa nyumba za kuishi zipo juu, hivyo hupelekea vijana wengi kuishi maeneo ya pembeni kama temeke ndani ndani kule kama chamanzi, mbande, buza, tandika, mbagala. Tegeta ndani ndani kule, malamba. Sasa niulize kutoka huko kuja town kariakoo nenda rudi mtu anatumia sh ngap.
[emoji23][emoji23]
Arusha jiji la kiduwanzi sana, yaani kuonana na wazungu ndio ishu kwaoSubiri waje washamba wa Arusha wanavyotoa povu
Mkuu ulichoandika una uhakika nacho? Nina evidence za kutosha kuhusu waliozaliwa na kukulia Dar na kugoma kwenda mikoaniWatu waliozaliwa dar na kusoma dar mpaka chuo hawapataki hata kupaona dar ila kina ngosha wakija kusoma dar na washamba wengine hawataki kurudi makwao
NB:ukiona mtu hataki kuondoka dar ujue huyo sio mzawa wa mkoa huo wazawa wengi hawapapendi dar baada ya kumaliza safari yao ya kimasomo hao ni wakuja ndo wanang'ang'ania jiji
29 years old with two sonsUmri wako tahadhali
Hongera mkuu..wengine wakiinjoy kuishiii dar akina sisi tupo Bahamasi
Sasa hayo madini ya huko mirerani ndo utaja muongopea nani? Yanakopatikana madini watu ni choka mbaya hatari...ushirikina wa kufa mtu..kwenye utalii vijana wa arusha mnajirahisisha kwa vibibi wa kizungu...ya hearrrdd...😀😀😀dar kuna harakati za panya road tu...
njoo arusha upewe harakati za pesa ndefu..kuna ishu za madini na utalii pesa yake sio kama hizo harakati za udadali hapo dasalamu