Black and White. Hakuna mbwembwe,. Macho makavu! 🙄 🙄🙄Pumbavu zako ww😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Black and White. Hakuna mbwembwe,. Macho makavu! 🙄 🙄🙄Pumbavu zako ww😅😅😅
Machawi yako hadi mabungeni kiongozi!. Ukitaka kujua, angalia misafara ya kuelekea B'gmoyo uchaguzi ukikaribia. Sema haya machawi ya huko hayaachi watoto uchi, na watoto wanakuwa magetini.Kama unaishi ushuani kama Masaki, Oysterbay au Upanga huna haja ya kumfunga vidude hivyo mtoto! Wachawi hawakanyagi maeneo kama yale 😂 ila kama upo uswahilini jiandae na zongo tu! Waafrika ni washirikina sana tena wanaweza kukulogea mtoto bila sababu ya msingi kabisa. Binafsi mie nimezaliwa Aga Khan na utoto ulinikutia Upanga kwetu wote hatujawahi kuvalishwa hayo mataka taka mpaka tumekuwa watu wazima ila huku uswahilini nilipo sasa kwa ushirikina uliopo siwezi shangaa mtu akimvalisha mwanae hivyo vitambaa.
😂😂😂😂 kwahiyo mtu anaweza mpeleka dogo hospital na hiyo NHIF ya mkononi😂 dahZIle ni BIMA ZA AFYA ukikuta kiunoni ujue hiyo AAR MKONONI NI NHIF
Dah hatari sana mkuu ila Africa na ushirikina ni kama chupi na tako 😂😂😂Machawi yako hadi mabungeni kiongozi!. Ukitaka kujua, angalia misafara ya kuelekea B'gmoyo uchaguzi ukikaribia. Sema haya machawi ya huko hayaachi watoto uchi, na watoto wanakuwa magetini.
Tena siku hizi, kuna maboresho yamefanyika. Hao masangoma hawafuatwi badala yake wanachukuliwa na kuletwa site wakiwa wamevalishwa shuti na briefcases zilizojaa hayo madudu. Wakifika location wanapewa chumba, shughuli inaanza, wakimaliza wanavaa suti na kurudishwa kama walivyo bebwa.
Utajua tu kwamba hawa ni wale wale kwa namna suti mpya inavyokaa mwilini na utembeaji.
Ogopa mkuu!. Shetani si wa kumkadiria
Ni Karogwa na siyo Kalogwa Mkuu sawa?
Kwani akivas vinamdhuru? Kama havimdhuru haina shida.Mbona wakubwa wanavaa macheni,vidani ,mabangili yanafaida gani?Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.
Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
Hao watoto wakipelekwa clinic kwa hospitali za dar manesi huwa wanavikatilia mbali ila manesi wa bush bado waoga kugeuka chura maji aka yangaKuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.
Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
Mama mkwe simgusi ila mwanangu nitamvuaIla vipi mwanao ukifanikiwa kupata mtoto halafu mama mkwe amvalishe utamfanyaje mama mkwe
Wanaovalishana hayo madude mostly ni wa vijijini town wanakuwa wamevamia tu, ilipotokea dini ya mtume kwenyewe mbona hawavai?Wanaovalisha hayo madude mostly ni wa dini ile ya mtume
Ni nadra kukutana wa muingereza kamvalisha mtoto hayo madude
Mimi naona kinyaa nkiyaona hata mtoto najikuta namuogopa
Mkuu wengi naona wana mawazo negative bora wewe umeelewa watu wanatokea kwenye jamii tofauti sana ndio maana mtu ufanya vyovyote vile kwa kulinda uhai wake sasa nashangaa watu wanajifanya hawaelewi.Kwani akivas vinamdhuru? Kama havimdhuru haina shida.Mbona wakubwa wanavaa macheni,vidani ,mabangili yanafaida gani?
Hahaha eti muingereza jamani watu mna code mnajuaaga kukaa kea password kweli wakija povu hutapata aseeWanaovalisha hayo madude mostly ni wa dini ile ya mtume
Ni nadra kukutana wa muingereza kamvalisha mtoto hayo madude
Mimi naona kinyaa nkiyaona hata mtoto najikuta namuogopa
Waje tuu..mbona inapanda kirahisi hiyo codeHahaha eti muingereza jamani watu mna code mnajuaaga kukaa kea password kweli wakija povu hutapata asee
Shauri yako wazee wa ma dufu unawajua lakiniWaje tuu..mbona inapanda kirahisi hiyo code
Mhh, mkuu... mbona ni kuloga. Kiswahili sahihi ni kipi? Sikusoma kurogwa mbona.Ni Karogwa na siyo Kalogwa Mkuu sawa?
Hahahaa nawajuaShauri yako wazee wa ma dufu unawajua lakini
...Mkuu Gentamycine, mbona ulikuwa unatenda jambo jema tu la kumuelimisha mama kuwa alichokuwa amekifanya kwa mtoto wake ni 'Uppuzi'...lakini hapo hapo alipokuchimbia mkwara wa kukuambia atakugeuza chura ukaogopa 'Upuuzi' wake na kuingia Mitini, Mkuu? Uliuamini 'Upuuzi' wake??? [emoji846][emoji846]Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.
Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.