Hiyo Avatar ya huyo binti naona kama nyonyo (titi) ipo nje au macho yangu ya uzee yananidanganya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nae ndio hao hao wanyonya damu, Apo imemuuma umevujisha Siri ya kambi.
Wanawake msiendekeze njaa mnatia aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nae huyo naisi nae ndio wale wale wa vibomu nimemstukia maana komenti yake imekaa ki chuki sanaKuna wengi nilikua nachat nao pm na wala hawajakerekwa kama huyu... Nahisi ana lake sio bure. Lakini itakua ni wale wale nasikia njaa.
Mkuu ndo tabia yako nini?Utoto umezidi sana jf...pamekua panaboaa
tabia yangu ip
yes..ndo tabia yangu..huon nilivyomaind
Ahaaa ahaaa umetishaNipeleke mkuu...nina hakika nikishaombewa hapo hapo nampiga kirungu mchungaji cha nauli
Mkuu kama upo zenji nakuomba imbox tafadhali.Yaani mkuu hawa viumbe naenda nikiwachokonoa makusudi ili nipate vituko vyao fb mpaka naona kama wanaambizana vile. Sijui walifungua darasa au ni maamuzi yao tu yanawatuma.