Hivi vituko vyenu akina dada vitaisha karne ya ngapi?

Hivi vituko vyenu akina dada vitaisha karne ya ngapi?

Mrembo kakaza njaa inauma alafu unajifanya ujui anachotaka et unajibu..sasa si ule au unataka kunila mm...nimecheka sana
 
Yaani mkuu hawa viumbe naenda nikiwachokonoa makusudi ili nipate vituko vyao fb mpaka naona kama wanaambizana vile. Sijui walifungua darasa au ni maamuzi yao tu yanawatuma.
Mkuu kama upo zenji nakuomba imbox tafadhali.
 
Back
Top Bottom