Aisee kweli usiku umeingia sasa wachawi wapo kazini.....Wew niwalewale kwani mtu akikuongelesha lazma akupe hela ya kula inaonekana unafikiria kutumia matako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Bidada anaonekana hana akili[emoji23][emoji23] Alafu ukiangalia km bidada alikia anamuenjoy..mh nikae kimya mm
manengelo Tabia zako hizi!
Sasa kama hulumbani na mimi kelele za nini au mwanamke ni wewe peke yako humu?Eti mie naona km utoto...umemtongoA mwanamke anakuomba hela akale kwann usi-mute mkuu??kama si kujaza seva ni nn huku...mbona hizi nyimbo zishasikika sana...ww unapoona ngumu kumtumua 5000 akale muda huo.huo na nchi hyo hyo kuna mwanaume ametuma...300k kwa mwanamke...so kila mtu ale kufuatia urefu wa kamba yake...unalalamika vitu vdg sana...wala silumbani naye....!
Ndo maana niliamua kukupotezeaga pm!utoto sana...!km umeona anazengua si ungempotezea tu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hata kama ningechat nae vitu vya ajabu sikupanga hata siku moja kuja kumuweka hapa... Nishachat na wengi sana humu JF tena maarufu sana na sijaona cha ziada. Sana sana kupotezeana mda tu siku ziende. Wananifaham wengi humu hata kwa picha lakini sijaona wakilalamika kama yeye, aseme kinachosumbua. Maumivu yakizidi amuone daktari.I meant ungemkubalia mchat alikuwa anatafuta akupost like Happy ukamstukia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatafuta kiki tu huyu ili mumfaham wengi amini ni kwamba niko Zanzibar tu laiti ningekuwa Dar tu ningemla nakatae hapa.Mzee keshatuzingua!!
Naona PM yng utaijibu July!!![emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda nao unadanganyaNdo maana niliamua kukupotezeaga pm!utoto sana...!km umeona anazengua si ungempotezea tu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Huna lolote mbona ulinipa namba za sim na maandishi yangu ulikua unayaona au ulikua umejiziba kitambaa usoni?