DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Mkuu punguza ukatili kidogoUlinipotezea??? Kwa lipi, kuna kitu chochote ambacho nilikuomba/kukushobokea? Unatafuta kiki hapa hupati.
Na wewe usitake kujifanya mwema kisa kutafuta sifa kwa madem humu... Na wewe huna lolote kavu wewe.Katika maisha ya binadamu na ubinadamu wake ni vyema na busara kutunza siri ya mtu hata iwe mbaya kiasi gani na ndo maana conversation zote za kutongozana hufanyika inbox na si vinginevyo.
Binafsi niwe mkweli niseme tu wanaume tubadilike tuache utoto wa kuweka siri za mwenzako hadharani najua Kuna watakao kusifu huku wakikudharau. Point yangu iko hivyo why usingetulia tu na kumwacha na mapungufu yake au hilo povu msimalizane inbox?
Ndugu kiukweli umemkosea heshima sana huyo dada na hana kosa kukuomba maana kwa inavyoonyesha mlifikia pazuri huko inbox na pia inategemea we alienda kwa kiki gani kwake.
Pole mtendwa na pole mtendewa kwa kujiona upo sahihi kutoa siri za ndani hadharani. Kuna haja elimu ya JANDO irudishwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Shame on u bro. Nipotezee na sijakutaja na kama ndo wewe umeleta huo ujinga basi u mjinga haswaaa.Na wewe usitake kujifanya mwema kisa kutafuta sifa kwa madem humu... Na wewe huna lolote kavu wewe.
Hakuna cha kupotezewa hapa wewe ni pimbi, narudia usitafute sifa kwa madem wa humu... Lazima nikuchane basi vaa shanga kama imekuuma.Shame on u bro. Nipotezee na sijakutaja na kama ndo wewe umeleta huo ujinga basi u mjinga haswaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi wa viwanda na elimu ya jando ni mbingu na ardhi.Katika maisha ya binadamu na ubinadamu wake ni vyema na busara kutunza siri ya mtu hata iwe mbaya kiasi gani na ndo maana conversation zote za kutongozana hufanyika inbox na si vinginevyo.
Binafsi niwe mkweli niseme tu wanaume tubadilike tuache utoto wa kuweka siri za mwenzako hadharani najua Kuna watakao kusifu huku wakikudharau. Point yangu iko hivyo why usingetulia tu na kumwacha na mapungufu yake au hilo povu msimalizane inbox?
Ndugu kiukweli umemkosea heshima sana huyo dada na hana kosa kukuomba maana kwa inavyoonyesha mlifikia pazuri huko inbox na pia inategemea we alienda kwa kiki gani kwake.
Pole mtendwa na pole mtendewa kwa kujiona upo sahihi kutoa siri za ndani hadharani. Kuna haja elimu ya JANDO irudishwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya MkuuUchumi wa viwanda na elimu ya jando ni mbingu na ardhi.
Baada ya kubanduana mlipeana magonjwa yapi ?Hawana ishu hawa nishawabandua sana sijaona jipya zaidi ya magonjwa tu.
Tembelea vituo vya afya kwa matibabuMakaswende.
Mmepewa mapumziko ya fool's day ?
Mmepewa mapumziko ya fool's day ?