Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Jan 4, 2025 #1 Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG?
Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG?
Fortilo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 5,807 Reaction score 17,416 Jan 4, 2025 #2 Lycaon pictus said: Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG? Click to expand... Let me fix it for you. Ingia google andika. Chadema yapewa hati safi na CAG... Alafu chagua news source Au ingia ai... Andika huu utumbo utajibiwa ipasavyo kwa lugha mama.
Lycaon pictus said: Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG? Click to expand... Let me fix it for you. Ingia google andika. Chadema yapewa hati safi na CAG... Alafu chagua news source Au ingia ai... Andika huu utumbo utajibiwa ipasavyo kwa lugha mama.
DolphinT JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 2,014 Reaction score 2,979 Jan 4, 2025 #3 Lycaon pictus said: Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG? Click to expand... Uwe unatafuta taarifa kabla ya kuja kuandika hapa! Maandiko mengine ni ya kiwango Cha Facebook tu!jibu ni Ndio CAG anafanya ukaguzi
Lycaon pictus said: Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG? Click to expand... Uwe unatafuta taarifa kabla ya kuja kuandika hapa! Maandiko mengine ni ya kiwango Cha Facebook tu!jibu ni Ndio CAG anafanya ukaguzi
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Jan 4, 2025 Thread starter #4 DolphinT said: Uwe unatafuta taarifa kabla ya kuja kuandika hapa! Maandiko mengine ni ya kiwango Cha Facebook tu!jibu ni Ndio CAG anafanya ukaguzi Click to expand... Si ndiyo hapa natafuta taarifa!!
DolphinT said: Uwe unatafuta taarifa kabla ya kuja kuandika hapa! Maandiko mengine ni ya kiwango Cha Facebook tu!jibu ni Ndio CAG anafanya ukaguzi Click to expand... Si ndiyo hapa natafuta taarifa!!
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Jan 4, 2025 Thread starter #5 Fortilo said: Let me fix it for you. Ingia google andika. Chadema yapewa hati safi na CAG... Alafu chagua news source Au ingia ai... Andika huu utumbo utajibiwa ipasavyo kwa lugha mama. Click to expand... Shukrani kwa kunijuza mkuu.
Fortilo said: Let me fix it for you. Ingia google andika. Chadema yapewa hati safi na CAG... Alafu chagua news source Au ingia ai... Andika huu utumbo utajibiwa ipasavyo kwa lugha mama. Click to expand... Shukrani kwa kunijuza mkuu.
H Hapulo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 478 Reaction score 427 Jan 4, 2025 #6 Lycaon pictus said: Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG? Click to expand... Ruzuku ya pesa za serikali kwa vyama ziondolewe ni kuharibu Kodi zetu walala hoi !
Lycaon pictus said: Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG? Click to expand... Ruzuku ya pesa za serikali kwa vyama ziondolewe ni kuharibu Kodi zetu walala hoi !
DolphinT JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 2,014 Reaction score 2,979 Jan 4, 2025 #7 Hapulo said: Ruzuku ya pesa za serikali kwa vyama ziondolewe ni kuharibu Kodi zetu walala hoi ! Click to expand... Una maana gani
Hapulo said: Ruzuku ya pesa za serikali kwa vyama ziondolewe ni kuharibu Kodi zetu walala hoi ! Click to expand... Una maana gani