Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Sasa unasemaje tuna mainjinia na bado tunatumia mainjinia wa nje?Sawa kabuni mzungu ila elimu yetu imepitwa na wakati tunatumia elimu iliyoletwa na mzungu miaka ya 1900 unategemea iendane na mahitaji ya dunia ya 2000.
Mwafrika ni mtu gani. aliyezaliwa bara la Afrika, ama mtu mweusi. Labda tuanzie hapo
Expert memberTuache kula ugali.
Kwahiyo una high IQ.Kama unahisi una low IQ hilo ni tatizo lako usitujumuishe sote. Wapo watu weusi kama Ben Carson na Lewis Latimer walioishangaza dunia wagoogle kama huwajui.
Kwani waliosoma DIT walisomea kozi gani au DIT hauijui basi waliosoma COET walisomea nn?Sasa unasemaje tuna mainjinia na bado tunatumia mainjinia wa nje?
Average IQ ya muafrika 70 kushuka chini wakati mchina ni 100 kwenda juuKama unahisi una low IQ hilo ni tatizo lako usitujumuishe sote. Wapo watu weusi kama Ben Carson na Lewis Latimer walioishangaza dunia wagoogle kama huwajui.
Chanzo kwa mujibu wa nani ?Waafrica si ndiyo chanzo cha sehemu kubwa ya maarifa ya duniani leo, yaani hesabu, sayansi na falsafa?
Sijasema kama nina high IQ kwani uzi unazungumzia IQ yangu au ya watu weusi kwa ujumla?K
Kwahiyo una high IQ.
Umefanya nini mpaka nikuweke level moja na waliofanya makubwa kwenye dunia hii!!!
Kama ni IQ ya kufaulu mitihani ni kitu cha kawaida.
Bado tunasafari ndefu sana MkuuMa Engineer wa mchongo.
HistoriaChanzo kwa mujibu wa nani ?
Ipi ?Historia
Waliishangaza wakiwa ndani ya bara la Africa?Kama unahisi una low IQ hilo ni tatizo lako usitujumuishe sote. Wapo watu weusi kama Ben Carson na Lewis Latimer walioishangaza dunia wagoogle kama huwajui.
Siifananishi na nchi yeyote hapa Afrika ila wakati ugiriki inaisumbua dunia enzi hizo Marekani ilikuwa haijulikani lakini leo angalia marekani ilivyomuacha ugiriki kimaendeleo.Ugiriki unaweza kuifananisha na nchi gani hapa Afrika ?
Mtu mweusi hususani Tz anaamini kuna UCHAWI,na kwamba mtoto wake anaweza kurogwa na jirani, eti kwasababu ana akili sana....sasahuo ugunduzi utatoka wapi?🤔🤔Wazungu wenyewe hawapendi sisi tuwe wagunduzi na hii yote nikutokana na kutokuwa na imani na mtu mweusi
Hivi unadhani tukiwa wagunduzi wazungu watatusapoti ikiwa sisi kwa sisi hatusapotiani.
Acha tuwe hivihivi kama manyumbu, uchawi kwa sana
Yaani mtu nweusi hususani Tz akiona mtoto wajilani anafanya vizuri darasani anamroga, sasa huo ugunduzi utatoka wapi
Kwani wazazi wao walitokea wapi?Waliishangaza wakiwa ndani ya bara la Africa?
Nilisoma hiyo stori zamani sana hivyo sikumbuki jina. Na siku.buki alifanyaje kwenyekusoma na kuandika Ninachokumbuka kwenye ugunduzi wamuda alitumia Kopo lenye tundu ndogo na maji. Kisha kudondosha maji matone ambayo jamaa alifanya utafiti wa mdondoko wa matone.Aligunduaje muda!!! Pamoja na kusoma na kuandika?
Na anaitwa nani?
Ya duniaIpi ?