Hilo halituhisu,Hilo ni lako pambana nalo mkuuHabari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.