Hivi Waafrika hatuna akili?

Hivi Waafrika hatuna akili?

Sawa kabuni mzungu ila elimu yetu imepitwa na wakati tunatumia elimu iliyoletwa na mzungu miaka ya 1900 unategemea iendane na mahitaji ya dunia ya 2000.
Sasa unasemaje tuna mainjinia na bado tunatumia mainjinia wa nje?
 
Waafrica si ndiyo chanzo cha sehemu kubwa ya maarifa ya duniani leo, yaani hesabu, sayansi na falsafa?
 
K
Kama unahisi una low IQ hilo ni tatizo lako usitujumuishe sote. Wapo watu weusi kama Ben Carson na Lewis Latimer walioishangaza dunia wagoogle kama huwajui.
Kwahiyo una high IQ.
Umefanya nini mpaka nikuweke level moja na waliofanya makubwa kwenye dunia hii!!!

Kama ni IQ ya kufaulu mitihani ni kitu cha kawaida.
 
Kama unahisi una low IQ hilo ni tatizo lako usitujumuishe sote. Wapo watu weusi kama Ben Carson na Lewis Latimer walioishangaza dunia wagoogle kama huwajui.
Average IQ ya muafrika 70 kushuka chini wakati mchina ni 100 kwenda juu
 
K

Kwahiyo una high IQ.
Umefanya nini mpaka nikuweke level moja na waliofanya makubwa kwenye dunia hii!!!

Kama ni IQ ya kufaulu mitihani ni kitu cha kawaida.
Sijasema kama nina high IQ kwani uzi unazungumzia IQ yangu au ya watu weusi kwa ujumla?
 
Kama unahisi una low IQ hilo ni tatizo lako usitujumuishe sote. Wapo watu weusi kama Ben Carson na Lewis Latimer walioishangaza dunia wagoogle kama huwajui.
Waliishangaza wakiwa ndani ya bara la Africa?
 
Ugiriki unaweza kuifananisha na nchi gani hapa Afrika ?
Siifananishi na nchi yeyote hapa Afrika ila wakati ugiriki inaisumbua dunia enzi hizo Marekani ilikuwa haijulikani lakini leo angalia marekani ilivyomuacha ugiriki kimaendeleo.
 
Wazungu wenyewe hawapendi sisi tuwe wagunduzi na hii yote nikutokana na kutokuwa na imani na mtu mweusi

Hivi unadhani tukiwa wagunduzi wazungu watatusapoti ikiwa sisi kwa sisi hatusapotiani.
Acha tuwe hivihivi kama manyumbu, uchawi kwa sana

Yaani mtu nweusi hususani Tz akiona mtoto wajilani anafanya vizuri darasani anamroga, sasa huo ugunduzi utatoka wapi
Mtu mweusi hususani Tz anaamini kuna UCHAWI,na kwamba mtoto wake anaweza kurogwa na jirani, eti kwasababu ana akili sana....sasahuo ugunduzi utatoka wapi?🤔🤔
 
Aligunduaje muda!!! Pamoja na kusoma na kuandika?

Na anaitwa nani?
Nilisoma hiyo stori zamani sana hivyo sikumbuki jina. Na siku.buki alifanyaje kwenyekusoma na kuandika Ninachokumbuka kwenye ugunduzi wamuda alitumia Kopo lenye tundu ndogo na maji. Kisha kudondosha maji matone ambayo jamaa alifanya utafiti wa mdondoko wa matone.
Baada yahapo akatengeneza pipa kwa mfumo wa lile kopo ili kudondosha matone ya maji hayo na kugawa kwa
sekunde,
dakika
Saa
Siku
Wiki
Mwezi na hatimae kupatikana mwaka
 
Back
Top Bottom