Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unataka kusema Communism imeanzia sehemu fulani na kwenda pengine au nini maana ya Communism ? Kabla ya Industrial Revolution na ukiondoa mfumo wa Kifalme unadhani ni mfumo gani ungeweza kuendana na means of production za wakati husika ? Baada ya kuondoa Monarchy (Ufalme lazima kuna Void na ni jinsi gani unaweza kugawanya mali) Kwahio dunia nzima kwa vipindi tofauti kumekuwa na some sort of communism kulingana na system iliyokuwepo.., Kina Karl Marx kufanya hii kitu kwenda mainstream ni kutokana na Unyonyaji ulioletwa na Industrial Revolution kitu kilichoikumba sana Ulaya na kwa Afrika hio haikusumbua huku sababu watu walikuwa na mifumo yao ya Kifalme na Nyarubanja ambayo iligawanya mali na kila mtu aliridhika na his class (Class Struggle hazikuwa kubwa)Ujinga na kukosa akili ni nini ? Ni kuendelea kumlaumu mzungu kwa kila upumbavu wa muafrika.
Ukomunisti uliopo China haukuanzia China ulitoka huko ulaya mpaka kufika China ila wachina hawalalamiki kuwa ukomunisti upo kuwa zuia kifikra wasivumbue vitu.
Kukujulisha tu China mambo ya dini hawayapi kipaumbele sio za kwao sio za kigeni wachina hawajali kuhusu mambo ya dini
Communism is a political and economic system that seeks to create a classless society in which the major means of production, such as mines and factories, are owned and controlled by the public. There is no government or private property or currency, and the wealth is divided among citizens equally or according to individual need. Many of communism’s tenets derive from the works of German revolutionary Karl Marx, who (with Friedrich Engels) wrote The Communist Manifesto (1848). However, over the years others have made contributions—or corruptions, depending on one’s perspective—to Marxist thought. Perhaps the most influential changes were proposed by Soviet leader Vladimir Lenin, who notably supported authoritarianism.
Kwahio I can argue all earlier life of family / villages were communist in nature and with the rise of automation and technology and death of capitalism there would be another system which will neither be capitalism nor Socialism but maybe something similar to what China has which is Market Socialism...What are the origins of communism?
Although the term communism did not come into use until the 1840s, societies that may be considered communist were described as long ago as the 4th century BCE, when Plato wrote the Republic. That work described an ideal society in which the governing class devotes itself to serving the interests of the whole community. The first Christians practiced a simple form of communism, and in Utopia (1516) the English humanist Thomas More described an imaginary society in which money is abolished and people share meals, houses, and other goods in common. However, communism is most widely identified with Karl Marx, who outlined the system with Friedrich Engels in The Communist Manifesto (1848). Marx’s embrace of communism was motivated in part by the inequities caused by the Industrial Revolution.
Kwani Kijazi flyover ilijengwa na nani? Bila kusahau ya Mfugale?Hao Mainjinia wakiafrika ulishawahi kuona kiwango cha barabara walizojenga? Nenda Kigoma kaangalie zile two ways zao utanielewa.
Oya... endelea kuamini kuna ushirikina.Oya naelewa kifafa ni nini ila ile ilikuwa ya kuchezewa.
Kama unahitaji uthibitisho njoo nikupeleke kwa Mtaalamu aliyemsaidia.
Japo bado najiuliza technique ya kifafa kusafiri kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine inapitaje pitaje.
Cha kukushauri kingine usipende kubisha ili uonekane unaenda na usasa. Mambo ya asili yanafanya kazi
Inashangaza sana. Waafrika tuna upeo mdogo wa akili, katika level ya ukichaa.Level ya pure ignorance inayoonekana kwenye hii thread ni heartwrenching. Tuna safari ndefu sana kama majority ya wananchi wana upeo mdogo namna hii.
Kwanini?Waafrika Wamelaanika
Gunduzi zipo mfano Pombe ya gongo, majiko ya mkaaHoja yangu imeegemea zaidi upande wa gunduzi.
Engineer ni fani ya kusomea.
Wala haithibitishi kuwa mtu ana akili.
Hata vizungu vingine havina akili, ukivuta huku kwetu vimevaa ndala vimechoka hadi havitamanishi
Bibadamu wote walitokea Africa (fact), hao walioenda ulaya walipaa? Meli zinaundwa kwa Chuma, nani kagundua chuma?Hamna nyenzo ya usafiri wa njia ya bahari ambayo iliundwa na mwafrika; ndio maana hata ukienda hapo kisiwa cha Madagascar wazawa sio waafrika bali na watu waliotokea visiwa vya Asia huko
Poor BrainHii ndo comment niliyokuwa naitafuta 👊👊
Hana akili peke ake
Nyinyi sasa ndio mnatupaga waafrika majina mabaya, utasikia "ooh hatusomi", mara "ooh hatufanyi research yoyote ila tunapayuka tu"Bibadamu wote walitokea Africa (fact), hao walioenda ulaya walipaa? Meli zinaundwa kwa Chuma, nani kagundua chuma?
Hii nilishuhudia kipindi cha Covid-19, wakati dunia ikijaribu kutengeneza vaccine. Kila bara walialikwa the best research scientist katika field hiyo. Africa kuna walio apply kwenda kwenye conference hiyo lakini hakuchaguliwa hata mmoja ila mabara mengine yote walichagua mwakilishi angalau mmoja. Kwa picha hiyo unaona dunia inavyowachukulia waafrika katika masuala ya ugunduzi.Wazungu wenyewe hawapendi sisi tuwe wagunduzi na hii yote nikutokana na kutokuwa na imani na mtu mweusi
Hivi unadhani tukiwa wagunduzi wazungu watatusapoti ikiwa sisi kwa sisi hatusapotiani.
Acha tuwe hivihivi kama manyumbu, uchawi kwa sana
Yaani mtu nweusi hususani Tz akiona mtoto wajilani anafanya vizuri darasani anamroga, sasa huo ugunduzi utatoka wapi
Wazungu wanaamini mtu mweusi hana uwezo wa kufikiri...Hii nilishuhudia kipindi cha Covid-19, wakati dunia ikijaribu kutengeneza vaccine. Kila bara walialikwa the best research scientist katika field hiyo. Africa kuna walio apply kwenda kwenye conference hiyo lakini hakuchaguliwa hata mmoja ila mabara mengine yote walichagua mwakilishi angalau mmoja. Kwa picha hiyo unaona dunia inavyowachukulia waafrika katika masuala ya ugunduzi.
Wewe sasa ndio unaonekana taahira, kwahiyo wakati wazungu wanarudi Afrika kutawala , hapakuwa na Chuma? Kwamba walikuta tunatumia zana za mawe?Nyinyi sasa ndio mnatupaga waafrika majina mabaya, utasikia "ooh hatusomi", mara "ooh hatufanyi research yoyote ila tunapayuka tu"
Ndugu yangu, ufugaji wa wanyama kwa matumizi ya binadamu kama usafiri na chakula sio jambo la kale sana (inaweza isizidi hata miaka 20,000) na binadamu katoka Afrika kitambo sana zaidi ya hapo (yaweza kuwa hata miaka 50,000 iliyopita), kipindi hicho hakukuwa na nyenzo yoyote ya usafiri zaidi ya miguu na safari hiyo haikuwa ya mara moja bali unakuta ilichukua mamia kama sio maelfu ya miaka maana walisafiri wa kutafuta chakula na kwa msukumo wa tabia nchi , waliingia ulaya kupitia mashariki ya kati na wengine wakielekea Asia (tabia nchi ya mashariki ya kati inaonekana iliruhusu safari hiyo kwa kipindi hicho)
Ugunduzi wa chuma sio wa kale sana (inaweza isizidi hata miaka 5000 kabla ya Kristo), na hata hizo meli/mashua nazo ni kipindi hicho hicho (5000 - 8000 kabla ya Kristo)