Hivi Waafrika hatuna akili?

Kama tumeshindwa tu kulinda rasilimali za bure alizotupatia MUNGU huo ugunduzi tutautoa wapi. North Korea walipewa vikwazo nchi ikawa kama imefungiwa kila kitu, lakini wametengeneza mpaka nuklia, silaha nk. Na tusiseme mwafrika tuseme sisi watu weusi.
 
Elon Musk ni muAfrika? Maana amezaliwa na kukulia Afrika, USA kaenda ukubwani. Kumbe unaataka kusema waAfrika wana Akili, tatizo ni mazingira waliyonayo hapa Afrika, sivyo?
 
Elon Musk ni muAfrika? Maana amezaliwa na kukulia Afrika, USA kaenda ukubwani. Kumbe unaataka kusema waAfrika wana Akili, tatizo ni mazingira waliyonayo hapa Afrika, sivyo?
Mkuu ila Elon Musk kasomea USA na project zake kaanzisha hukohuko USA na si South Africa.
 
Mkuu ila Elon Musk kasomea USA na project zake kaanzisha hukohuko USA na si South Africa.
Kwahiyo Elon Musk ni MuAfrika? Na hao WaAfrika nje ya Afrika wanaofanya hizo gunduzi ina maana waAfrika wanazo akili, tatizo ni mazingira magumu ndani ya Afrika sio?
 
Kwahiyo Elon Musk ni MuAfrika? Na hao WaAfrika nje ya Afrika wanaofanya hizo gunduzi ina maana waAfrika wanazo akili, tatizo ni mazingira magumu ndani ya Afrika sio?
Nahisi pia mfumo wa elimu unachangia.
 
kuna jamaa aligundua umeme wa kutumia sumaku
na aliwashangaza hata ma injinia wetu wa Tannesco
Hivi aliishia wapi?
 
1. Siyo kweli kabisa kwamba Waafrika hawana akili na siyo kweli kabisa kwamba hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha.
Wapo waAfrika wengi tu Wana akili nzuri kabisa na timamu sawa sawa kabisa. Pia zipo teknolojia nyingi tu ambazo zimegunduliwa, kuvumbuliwa au kubuniwa na waAfrika. Sema idadi ya waAfrika wenye akili nzuri ni wachache Sana hapa duniani, ni wachache Sana.

2. Ni kweli kabisa kwamba WATU WEUSI wengi Sana hapa duniani Wana akili ambazo siyo nzuri, huu ni Ukweli mchungu Sana ambao haupingingiki hata kidogo. Ni WATU WEUSI wachache Sana hapa duniani ambao Wana akili nzuri, wengi wao akili zao zina mushkeli mkubwa sana. Upeo wao wa akili katika kufikiri au katika kuchakata 'data' upo chini sana kupita kiasi. Many Black people have a very low IQ and EQ.

TAHADHARI: Elewa tofaufi iliyopo Kati ya WAAFRIKA na WATU WEUSI, hivi ni vitu viwili tofaufi kabisa, wala siyo kitu kimoja.

Siyo kila Mwafrika ni Mtu Mweusi, na wala siyo kila Mtu Mweusi ni Mwafrika.
 
Mkuu ila Elon Musk kasomea USA na project zake kaanzisha hukohuko USA na si South Africa.
unapoteza muda kiongozi. ukishaona mtu yoyote yule idol wake ni magu aisee kaa mbali sana. hao wanakuwaga kama wamekatwa vichwa.
 
Tunazo, tunafanya maombi bado tushushiwe mzigo toka mbinguni, usitishwe na wazungu, wale hawamjui mungu bana, nchi zao zilimkataa yesu wetu na wala hawamjui, so tunasugua goti na wale wasabato masalia wanajipanga upya kupanda ndege bure na bila visa kwenda nchi mbalimbali kuwafundisha waache hayo mateknolojia yao wafanye pia maombi wasituletee maugunduzi yao ya kishetani bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…