Hivi Waafrika hatuna akili?

Tuanze na ww mwenyewe ni mabadiliko gani chanya umeleta au changia katika jamii yako
 
Tatizo hujui historia yake. Fanya utafiti kuhusu historia yako.
 
Lakini wagunduzi wengi walikuwa na elimu ya kawaida.
Ila walifanya makubwa, Sio kwamba uwezo wetu ni mdogo tu?

inategemea mgunduzi wa aina gani wako wengi mfano wana sanaa kama akina Kipanya hauhitaji elimu kubwa lkn kuunda na kutuma chombo space unahitaji uelewa na elimu kubwa pia …
 

hapo ndipo unapomiss point nafikiri, hao negros inventors wako wapi au waliishi na kufanyia kazi zao wapi? waliishi Afrika au USA?
 
Impact what impact ?

Hivi unadhani katika dunia hii ni nani anaishi sustainably na Nature (Mazingira) Kuliko Muafrika..., au unadhani eating sewage.., polluting oceans kwa plastics na uchafu usio kifani ndio akili ?

Hata Ndugu zetu Red Indians wangekwambia wale unaodhani ndio wana akili ndio wanaofanya safari ya hili dubwasha (dunia) liwe unhabitable kwa kasi sana.... Walisema ndugu zetu Red Indians (ambao hata sisi kabla ya uchafuzi tulikuwa tunaishi hivyo)

Only when the last tree has been cut down, the last fish been caught, and the last stream poisoned, will we realize we cannot eat money.
 
Mbona hizi gunduzi ni za kawaida sana Bwana Mshana!!!
 
inategemea mgunduzi wa aina gani wako wengi mfano wana sanaa kama akina Kipanya hauhitaji elimu kubwa lkn kuunda na kutuma chombo space unahitaji uelewa na elimu kubwa pia …
Kwani unahisi ni wangapi hapa Tanzania wana elimu zaidi ya Nikola Tesla
Lakini kikubwa walichofanya zaidi ya kujaza matumbo yao kwa rushwa tu!!!
 
Tumeumbwa tofauti kaka, wezetu akili zao zipo kichwani ila sisi akili zetu zipo chini. Kila tukijaribu kuwaza mambo ya msingi tunajikuta huku chin kunasimama na kwa upande wanawake kunawasha.
Ila siku akili zetu zikihamia kichwani basi tutafanya mautundu mengi sana
 
We unatibiwa na dawa kutoka kwa mabeberu
Nchi zetu kwa asilimia kubwa zinaendeshwa na misaada kutoka kwa wenzetu,

Magari yanaagizwa kutoka Ulaya.
Aisee aliekuzidi amekuzidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…