Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
- #41
Kweli Mkuu,Akili hatuna mzee hata tukisapotiwa hakuna tutakachofanya.
Hivi kuna Mwafrika angeweza kugundua gari linalotumia umeme?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mkuu,Akili hatuna mzee hata tukisapotiwa hakuna tutakachofanya.
Hapana, hawaliKwani wenzetu hawali ugali?
Naweza kukubaliana na wewe.Wazungu ni wachawi kuliko watu weusi. Uchawi wetu ungekuwa na nguvu tusingetawaliwa na kuuzwa kama nyanya.
Tuanze na ww mwenyewe ni mabadiliko gani chanya umeleta au changia katika jamii yakoHabari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Huko mbali sana, hata mavazi yenyewe huenda tusingegundua.Kweli Mkuu,
Hivi kuna Mwafrika angeweza kugundua gari linalotumia umeme?
Hahahahahaha 🤣😂🤣Mbona nasikia tumegundua style za kufurahishana kitandani. Akili tunazo.
Au we mleta mada unafikiri akili ni nini?
Tatizo hujui historia yake. Fanya utafiti kuhusu historia yako.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Sisi tunawanga tu, lakini hatujui kutumia uchawi.N
Naweza kukubaliana na wewe.
Na sahivi mpaka ONLINE wanafundisha ELIMU YA UCHAWI
Lakini wagunduzi wengi walikuwa na elimu ya kawaida.
Ila walifanya makubwa, Sio kwamba uwezo wetu ni mdogo tu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Black society ni Kama kaa ndani ya ndoo.
THE NEGRO AS AN INVENTOR.
405
These inventions show how completely in error are those who con stantly assert that the Negro has made no lasting contribution to the civilization of the age, and they prove conclusively that under favor able environment he is capable of performing his whole duty in the work of mankind whether it be tilling the earth with his hoe or advancing the world by his thought.
LIST OF COLORED INVENTORS IN THE UNITED STATES AS FURNISHED FOR THE PARIS EXPOSITION, 1500
Invention,
Date
Number.
Apr. 14, 1851. 450,550 Hame Attachment..
Inventor.
Abrama, W. B.
Allen, C. W.
Self-Leveling Table. Nov. 1, 1891. 613,436
Allen, J.B.
Clothes Line Support.
Dec. 10, 1895 551,105
Ashbourne, A. P... Process for Preparing Coceanut for Domestic Use.
June 1, 1875, 163,562
Ashbourne, A. P.
Biscuit Cutter..
Nov. 20, 1875 170,460
Ashbourne, A. P.
Refining Coconut Oil. July 27, 1850. 230,518
Ashbourne, A. P
Process of Treating Coconut
Ave 21, 1877. 194257
Corn Planter.
Oct. 14, 1834.
Balley, L. C...
Blair, Henry.
Hailey, L. C.. Folding Bed. July 18, 1899. 429,284
Bailes, Wm.
Combined Trass and Bandage.
Sept. 25, 1883 285545
Cotton Planter. Ave. 21, 1836.
Ladder Scaffold Support Aug. 5. 1879 218.154 Bailiff, C. O. Oct 11, 1608 612,008
Shampoo Headrest.
Ballow, W. J.
Combined Hatrack and Table Mar. 29, 1994. 401,422
Barnes, G. A. Ε.
Design for Sign..
Aug 15, 1898 29,133
Beard, A. J.
Rotary Engine.
July 5, 1892 478,271
Deard. A. J.
Car-coupler..
Nov. 23, 1897. 594.009
Becket, G. E.
Letter Box.
Oct. 4, 1892 433,525
Bell, L
Locomotive Hmoke Stack. May 23, 1871. 115.153
Bell, Broom Moisteners and Bridles. May 16, 1892. 407,747
Dough Kneader. Dee. 10, 1872. 123.823
Benjamin, Miss M.E.
Gong and Signal Chairs for Hotels, July 17, 1888 286,246
Blackburn. AB
Hallway Signal. Jan. 10, 1855376,362
Blackburn, A. I
Spring Sest for Chairs. Apr. 2. 1838 260,420
Blackburn. A. B
Cash Carrier. Oct. 22, 1888 391,577
Blue, L. Hand Corn Shelling Device. May 20, 1884. 298,937
Bings. M. W.
Street Sprinkling Apparatus. July 22, 1879. 217,843
H. E. Baker
Booker, L. F. Boone, Barab.
Design Itubber Seraping Knife Mar. 1899 30,404
Ironing Board. Apr. 26, 1892. 473,653
Bowman, H. A. Making Flags. Feb. 13, 1892.46335
Brooks, C. B.
Punch... Oct. 31, 1833. 507,072
Brooks, C. B.
Street-Sweepers. Mar. 17, 1896. 856,711
Brooks, С. П..
Street Sweepers. May 12, 1836 500.154
Brooks, Hallstead and Page.. Street Sweepers. Apr. 21, 1996. 558.719
Brown, Henry. Receptacle for Storing and Preserv
ing Papers.... Nov. 2, 1886. 352,006
Impact what impact ?Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
THE NEGRO AS AN INVENTOR.
405
These inventions show how completely in error are those who con stantly assert that the Negro has made no lasting contribution to the civilization of the age, and they prove conclusively that under favor able environment he is capable of performing his whole duty in the work of mankind whether it be tilling the earth with his hoe or advancing the world by his thought.
LIST OF COLORED INVENTORS IN THE UNITED STATES AS FURNISHED FOR THE PARIS EXPOSITION, 1500
Invention,
Date
Number.
Apr. 14, 1851. 450,550 Hame Attachment..
Inventor.
Abrama, W. B.
Allen, C. W.
Self-Leveling Table. Nov. 1, 1891. 613,436
Allen, J.B.
Clothes Line Support.
Dec. 10, 1895 551,105
Ashbourne, A. P... Process for Preparing Coceanut for Domestic Use.
June 1, 1875, 163,562
Ashbourne, A. P.
Biscuit Cutter..
Nov. 20, 1875 170,460
Ashbourne, A. P.
Refining Coconut Oil. July 27, 1850. 230,518
Ashbourne, A. P
Process of Treating Coconut
Ave 21, 1877. 194257
Corn Planter.
Oct. 14, 1834.
Balley, L. C...
Blair, Henry.
Hailey, L. C.. Folding Bed. July 18, 1899. 429,284
Bailes, Wm.
Combined Trass and Bandage.
Sept. 25, 1883 285545
Cotton Planter. Ave. 21, 1836.
Ladder Scaffold Support Aug. 5. 1879 218.154 Bailiff, C. O. Oct 11, 1608 612,008
Shampoo Headrest.
Ballow, W. J.
Combined Hatrack and Table Mar. 29, 1994. 401,422
Barnes, G. A. Ε.
Design for Sign..
Aug 15, 1898 29,133
Beard, A. J.
Rotary Engine.
July 5, 1892 478,271
Deard. A. J.
Car-coupler..
Nov. 23, 1897. 594.009
Becket, G. E.
Letter Box.
Oct. 4, 1892 433,525
Bell, L
Locomotive Hmoke Stack. May 23, 1871. 115.153
Bell, Broom Moisteners and Bridles. May 16, 1892. 407,747
Dough Kneader. Dee. 10, 1872. 123.823
Benjamin, Miss M.E.
Gong and Signal Chairs for Hotels, July 17, 1888 286,246
Blackburn. AB
Hallway Signal. Jan. 10, 1855376,362
Blackburn, A. I
Spring Sest for Chairs. Apr. 2. 1838 260,420
Blackburn. A. B
Cash Carrier. Oct. 22, 1888 391,577
Blue, L. Hand Corn Shelling Device. May 20, 1884. 298,937
Bings. M. W.
Street Sprinkling Apparatus. July 22, 1879. 217,843
H. E. Baker
Booker, L. F. Boone, Barab.
Design Itubber Seraping Knife Mar. 1899 30,404
Ironing Board. Apr. 26, 1892. 473,653
Bowman, H. A. Making Flags. Feb. 13, 1892.46335
Brooks, C. B.
Punch... Oct. 31, 1833. 507,072
Brooks, C. B.
Street-Sweepers. Mar. 17, 1896. 856,711
Brooks, С. П..
Street Sweepers. May 12, 1836 500.154
Brooks, Hallstead and Page.. Street Sweepers. Apr. 21, 1996. 558.719
Brown, Henry. Receptacle for Storing and Preserv
ing Papers.... Nov. 2, 1886. 352,006
Kwani unahisi ni wangapi hapa Tanzania wana elimu zaidi ya Nikola Teslainategemea mgunduzi wa aina gani wako wengi mfano wana sanaa kama akina Kipanya hauhitaji elimu kubwa lkn kuunda na kutuma chombo space unahitaji uelewa na elimu kubwa pia …
Impact what impact ?
Hivi unadhani katika dunia hii ni nani anaishi sustainably na Nature (Mazingira) Kuliko Muafrika..., au unadhani eating sewage.., polluting oceans kwa plastics na uchafu usio kifani ndio akili ?
Hata Ndugu zetu Red Indians wangekwambia wale unaodhani ndio wana akili ndio wanaofanya safari ya hili dubwasha (dunia) liwe unhabitable kwa kasi sana.... Walisema ndugu zetu Red Indians (ambao hata sisi kabla ya uchafuzi tulikuwa tunaishi hivyo)
Only when the last tree has been cut down, the last fish been caught, and the last stream poisoned, will we realize we cannot eat money.
Tuanze na ww mwenyewe ni mabadiliko gani chanya umeleta au changia katika jamii yako