Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mifumo yetu ya elimu na yenyewe tumeiga ya kwao.Akili tunazo ila mifumo yetu ya elimu haiendani na dunia ya sasa. Wenzetu wanajifunza carriers watakazo tangu wakiwa wadogo ila huku mtu anajifunza mfano somo la jiographia kuanzia la kwanza hadi kidato cha nne na halitumii popote maishani.
Yote tunayoyasoma ni ama yamevumbuliwa na wao au yamegunduliwa na wao.
Swali jepesi tu: ulishaona Wazungu wangapi wana majina yote mawili ya Kiafrika? Waafrika wangapi wana majina yote ya Kizungu?