Hivi waarabu na wazungu huwa wana vinasaba vya ushoga? Wamepaharibu Zanzibar na Dar

Umeshakopewa mpaka kota lako...huna mamlaka na kota lako tena..
😭😭😭
 
We unaushaida gani. Izo ni tabia ya mtu Kutaka mwenyewe tu hakuna aliye halibiwa ni mtu mtu tu binafsi kutaka kutest pigo chafu
 
Hua wanajiona open minded, ati usim-judge mtu...
 
Haya mambo yamekaa kinamna sana kwa ujinga wetu tumejisahau mpaka jamii imeharibika alafu lawama zinapelekwa kwenye mikopo na misaada kwani kuna nchi yoyote imewahi kutangaza Scholarship ya vijana kwenda nchini kwako kufundishwa ushoga? Si ni wazazi mmewaacha watoto wenu wakaaribika tena wakiwa wadogo kabisa acheni kulaumu vitu visivyo husika watu warudi majumbani wakae na watoto wao wawafundishe umuhimu wa kuwa mwanaume tena rijali sio kuleta mashauzi kwenye malezi mtoto ana miaka 6 ashapelekwa shule ya bordin tena ya wanaume tupu kwann wasilainishane.
 
Natabiri;

1. Mtifuano mkuu kati ya Waarabu wa Mchambawima na Wazungu wa Nangulukuru.

2. Uzi kukimbia haraka kwa kasi ya 5G.
Waarabu wangekuwa na vinasaba vya ushoga,Tabora ingeongoza kwa ushoga,kwasababu walikuwa wengi sana,hata jina la Tabora(Tabour kituo cha usafiri kwa kiarabu),na walileta Tabora mitende,kuna sehemu walivyokuwa wengi mpaka kukaitwa Muscat(mji mkuu wa nchi ya Oman).Na pia Simiyu,Mpanda wapo wengi,mpaka kuna sehemu kunaitwa Arabuni,Kwerema pia walikuwa wengi sana,lakinni hakuna ushoga.Wakati huko Visiwani hakuna sehemu inaitwa Uarabuni,wala Muscat,wala hakuna mitende.Ila kuna vivutio vya kitalii,hotel za kitalii,beach nzuri,mchanga mweupe,visiwa vya uvuvi ni vingi,wazungu ndio wanavyopenda.Inavyosemekan waarabu walioishi mikoa ya bara Tanzania ni wengi,mara 50 ya walioshi Zanzibar.Lakini huko kote bara,mpaka Rwanda,Congo,walikuwa wengi waarabu na hakuna ushoga.
 
Waarabu wengi waliishi Tabora,Simiyu,Kwerema,Mpanda,Rwanda,Kongo,huko walikuwa wengi sana,mara 50 ya sehemu za Pwani mbona hakuna ushoga.Kuna sehemu maeneo ya huko bara mpaka zinaitwa Arabuni,Muscat,na mitende pia wameotesha,lakini hakuna ushoga.Ila sehemu za Pwani wazungu,wakija kama watalii,kwa vile zinavivutio vya utalii,ndio ukaona mashoga,na sio wengi kama inavyosemwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongezaa sautiiiiiiiii
 
Wazungu hawana dogo

Will Smith Smith alijifanya kupinga ushoga hadharani, mamende yakaenda kumsajili kijana wake, matokeo yake tukastuka ame left kwny group la mabarobaro

usije ukashangaa Mtoto wa Museven akageuzwa Nyari nyari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na yule willow kawa lesboos,

Watoto wake wote wamehama kambi zao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Waarabu wa Zanzibar wanaita Sunna hiyo
 


Unamlilia mungu afanyeje sasa?
Huo nao niujinga a.k.a ushoga pia.
Ndio Mana mababu zenu walishindwa kujitoa utumwani kisa kumsubiri yesu

Pambana.
 
SIDHANI KAMA KWELI WAZUNGU NI MASHOGA.

AU WANATUPIGA KIINI MACHO KUTUAMINISHA WAO NI MASHOGA, KUMBE WANATUDANGANYA ILI WAJINGA NA WAPUMBAVU WAIGE USHENi.

Nitakuwa WA MWISHO KUAMINI kama kweli WAZUNGU ni MASHOGA.
 
Wazungu hawana dogo

Will Smith Smith alijifanya kupinga ushoga hadharani, mamende yakaenda kumsajili kijana wake, matokeo yake tukastuka ame left kwny group la mabarobaro

usije ukashangaa Mtoto wa Museven akageuzwa Nyari nyari
Una maana gani? M7 ana zuga tu kuwadanganya wanyonge wa uganda hana ubavu huo.
Mwenyewe utawala wake amekalia kuti kavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…