Hivi waarabu na wazungu huwa wana vinasaba vya ushoga? Wamepaharibu Zanzibar na Dar

Hivi waarabu na wazungu huwa wana vinasaba vya ushoga? Wamepaharibu Zanzibar na Dar

Umeshakopewa mpaka kota lako...huna mamlaka na kota lako tena..
😭😭😭
 
Sehemu iwe kijiji mtaa hata wilaya kama kuna warabu na wazungu basi hiyo jamii lazima igeuke na kuwa na mashoga wengi.

Angalia Dar, Zanzibar, Tanga na Mombasa hii ni mifano tu.

Lakini hata South Africa Mashoga wengi wazungu na machotara.

Kwa nini inakuwa hivi?
We unaushaida gani. Izo ni tabia ya mtu Kutaka mwenyewe tu hakuna aliye halibiwa ni mtu mtu tu binafsi kutaka kutest pigo chafu
 
Hua wanajiona open minded, ati usim-judge mtu...
 
Haya mambo yamekaa kinamna sana kwa ujinga wetu tumejisahau mpaka jamii imeharibika alafu lawama zinapelekwa kwenye mikopo na misaada kwani kuna nchi yoyote imewahi kutangaza Scholarship ya vijana kwenda nchini kwako kufundishwa ushoga? Si ni wazazi mmewaacha watoto wenu wakaaribika tena wakiwa wadogo kabisa acheni kulaumu vitu visivyo husika watu warudi majumbani wakae na watoto wao wawafundishe umuhimu wa kuwa mwanaume tena rijali sio kuleta mashauzi kwenye malezi mtoto ana miaka 6 ashapelekwa shule ya bordin tena ya wanaume tupu kwann wasilainishane.
 
Natabiri;

1. Mtifuano mkuu kati ya Waarabu wa Mchambawima na Wazungu wa Nangulukuru.

2. Uzi kukimbia haraka kwa kasi ya 5G.
Waarabu wangekuwa na vinasaba vya ushoga,Tabora ingeongoza kwa ushoga,kwasababu walikuwa wengi sana,hata jina la Tabora(Tabour kituo cha usafiri kwa kiarabu),na walileta Tabora mitende,kuna sehemu walivyokuwa wengi mpaka kukaitwa Muscat(mji mkuu wa nchi ya Oman).Na pia Simiyu,Mpanda wapo wengi,mpaka kuna sehemu kunaitwa Arabuni,Kwerema pia walikuwa wengi sana,lakinni hakuna ushoga.Wakati huko Visiwani hakuna sehemu inaitwa Uarabuni,wala Muscat,wala hakuna mitende.Ila kuna vivutio vya kitalii,hotel za kitalii,beach nzuri,mchanga mweupe,visiwa vya uvuvi ni vingi,wazungu ndio wanavyopenda.Inavyosemekan waarabu walioishi mikoa ya bara Tanzania ni wengi,mara 50 ya walioshi Zanzibar.Lakini huko kote bara,mpaka Rwanda,Congo,walikuwa wengi waarabu na hakuna ushoga.
 
Waarabu wengi waliishi Tabora,Simiyu,Kwerema,Mpanda,Rwanda,Kongo,huko walikuwa wengi sana,mara 50 ya sehemu za Pwani mbona hakuna ushoga.Kuna sehemu maeneo ya huko bara mpaka zinaitwa Arabuni,Muscat,na mitende pia wameotesha,lakini hakuna ushoga.Ila sehemu za Pwani wazungu,wakija kama watalii,kwa vile zinavivutio vya utalii,ndio ukaona mashoga,na sio wengi kama inavyosemwa.
Sehemu iwe kijiji mtaa hata wilaya kama kuna warabu na wazungu basi hiyo jamii lazima igeuke na kuwa na mashoga wengi.

Angalia Dar, Zanzibar, Tanga na Mombasa hii ni mifano tu.

Lakini hata South Africa Mashoga wengi wazungu na machotara.

Kwa nini inakuwa hivi?
 
Saaa kupinga Ushoga ni sera ya Nchi au Sera ya Magufuli kichwani kwake.

Mbona wakati makonda anapinga ushoga mbona serikali ya mwenda zake ilijinasua kwenye mtego kwa kusema makonda anapinga ushoga kwa utashi wake na si serikali ya mwendazake. kama alikua na ubavu si angepinga?

Acheni kumpa mwendazake sifa asizo stahili.
Kipindi cha utawala wake hadi mashoga waliandamana na hakufanya kitu chochote.

Hakuna panyabuku yoyote anaweza ongea kuhusu ushoga nchi hii.

Kama tupo kwenye mikataba ya kimataifa inayosimamia haki za binadamu pamoja na uhuru wa watu na faragha unaanzia wapi kuupinga ushoga?

Mimi binafsi sikubaliani na ushoga ila kwenye huu mtego hatuchomoki ng'oooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongezaa sautiiiiiiiii
 
Wazungu hawana dogo

Will Smith Smith alijifanya kupinga ushoga hadharani, mamende yakaenda kumsajili kijana wake, matokeo yake tukastuka ame left kwny group la mabarobaro

usije ukashangaa Mtoto wa Museven akageuzwa Nyari nyari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na yule willow kawa lesboos,

Watoto wake wote wamehama kambi zao.
 
VUTU ni kiungo maalumu kwa ajili ya kutolea Nya na Kujambia .Lakni Shetani kama kawaida yake huvipamba vitu vibaya kuonekana vizuri.
Mfano wa Pombe ni chungu na yenye Harufu mbovu, mbaya ,Lakini Juice na maziwa ni mazuri tena yenye Siha muilni
Setani kageuza kizuri kuwa Kibaya .
Binadamu naye anafuata kama vile hana Macho wala hisia.
Nawauliza Mashoga hivi WAKIFIRWA wanapata nini?
Tena watu wazima kwa hiari yao wanajipaka Mavi ?
AHaaaaaaa,
Halafu wanajisifias kama vile wametobooowa.
Kweli Ujinga ni wa Shetani.
Jahannam ya Watu wa Luti Itajaa wengi kweli Sku hiyo ya Mwisho na wenyewe wanajishuhudia.
Halafu Misenge mingine utaikuta inakuja Misikitini au Makanisani ikitowa sadaka na Kulia kwa kwikkwi kama vile wanaabudu kweli vile, kumbe wanmuabudu Shetani baba yao.
Tutahadhari Watoto wetu na marafik wa aina hii.
Wasije wakaambukizwa na ujinga huu.
Hapa Zenji kuna Mzungu nasikia anagawa Fedha kwa vijana kuwaingiza kwenye Ushoga. na anawapa dawa ya kuwawasha Mikundu makusudi ili wahitaj kukunwa.
NATOWA TAHADAHRI TAIFA LINAANGAMIA, WAZUNGU WAMETUKUSUDIA KUTUHARIBIA MLA ZETU.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Sehemu iwe kijiji mtaa hata wilaya kama kuna warabu na wazungu basi hiyo jamii lazima igeuke na kuwa na mashoga wengi.

Angalia Dar, Zanzibar, Tanga na Mombasa hii ni mifano tu.

Lakini hata South Africa Mashoga wengi wazungu na machotara.

Kwa nini inakuwa hivi?
Waarabu wa Zanzibar wanaita Sunna hiyo
 
Dunia imetawaliwa na shetani! Huwezi kupata unachotaka Hadi ufate Mila zao..la cvyo unabaki hohehahe! Wazungu wamekubali Mila zao ili wapate wanachokitaka! Ndivyo ivoivo Kwa nchi nyingine..ili Mambo yaende Sawa inabidi ukubaliane na masharti! La cvyo Mambo yatakuwa mabaya, hata ushirikiano na wenzio waliokubali hautopewa kiufupi utatengwa na kupigwa vita za kiuchumi na maradhi!
Lkn binadam tumejisahau Sana tumesahau kuna siku ya mwisho na hukumu zake na wala hakuna atakaebeba mzigo wa mwenzie ikiwa kila mmoja amepewa akili! Tumemsahau Mungu! Mungu atatuangamiza sote wanaohusika na wasiohusika! Adhabu ya Mungu ni kubwa kuliko ya shetani! Ni Bora kuishi maisha magumu duniani kuliko akhera..Ee Mungu tusamehe


Unamlilia mungu afanyeje sasa?
Huo nao niujinga a.k.a ushoga pia.
Ndio Mana mababu zenu walishindwa kujitoa utumwani kisa kumsubiri yesu

Pambana.
 
SIDHANI KAMA KWELI WAZUNGU NI MASHOGA.

AU WANATUPIGA KIINI MACHO KUTUAMINISHA WAO NI MASHOGA, KUMBE WANATUDANGANYA ILI WAJINGA NA WAPUMBAVU WAIGE USHENi.

Nitakuwa WA MWISHO KUAMINI kama kweli WAZUNGU ni MASHOGA.
 
Wazungu hawana dogo

Will Smith Smith alijifanya kupinga ushoga hadharani, mamende yakaenda kumsajili kijana wake, matokeo yake tukastuka ame left kwny group la mabarobaro

usije ukashangaa Mtoto wa Museven akageuzwa Nyari nyari
Una maana gani? M7 ana zuga tu kuwadanganya wanyonge wa uganda hana ubavu huo.
Mwenyewe utawala wake amekalia kuti kavu.
 
Back
Top Bottom