ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Wadau sijui hii kama ni mimi tu nimeliona kuna hili la bar na nyumba za starehe kama clubs na vingine yaani asilimia 70 ya hivi vitu wamiliki ni wachaga yaani kila bar utasikia hiyo ya Kimaro sijui mara sijui Mushi mara sijui Lyimo hivi kuna Siri gani kwenye hili naomba nisieleweke vibaya siwasemi wachaga ila kuna kitu naona huku kwetu ndio nimekaa nawaza tu