Hivi wachaga pekee ndio mnaweza biashara ya bar au nyumba za starehe?

Hili la vyeti feki kuna namna vilaza walijazwa kwa kuchomekwa na ndugu zao......mtu anatumwa tu kafuate cheti, ukifikria kero za kufanya kazi na mtu asiye na weledi unaweza usimlaumu magu kwa kuwafyatua vyeti feki...
Ni kweli kwa hili
 
Hesabu yako ya asilimia 70 umetumia njia gani kuipata?au ni makadirio?
 
Hahahahah na kweli alichukiwa aisee daaaah.
tulikuwa tunafanya nao mtihani wa mock kanda moja lazima uvunje huko kwao kila mwaka mpaka tukajitoa yaani paper lazima livuje tena mock yaani 😀 😀 wazazi hata wa shule za government jamaa wa huko anakwambia wanajichanga kununua paper
 
Hata sio wivu. Tunatazama uhalisia mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wale wauza nyanya wengi barabarani ni wachagga pia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tulikuwa tunafanya nao mtihani wa mock kanda moja lazima uvunje huko kwao kila mwaka mpaka tukajitoa yaani paper lazima livuje tena mock yaani 😀 😀 wazazi hata wa shule za government jamaa wa huko anakwambia wanajichanga kununua paper
Duuuuh sasa hapo tuseme wanatafuta elimu kweli?
 
tulikuwa tunafanya nao mtihani wa mock kanda moja lazima uvunje huko kwao kila mwaka mpaka tukajitoa yaani paper lazima livuje tena mock yaani 😀 😀 wazazi hata wa shule za government jamaa wa huko anakwambia wanajichanga kununua paper
Wewe ndio unapaswa kuwa shahidi namba moja..mana una ushahidi wa kutosha kuhusiana na suala la wachaga kuiba mitihani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom