Hivi wachaga pekee ndio mnaweza biashara ya bar au nyumba za starehe?

Hivi wachaga pekee ndio mnaweza biashara ya bar au nyumba za starehe?

Wachagga sio wakabila ila kuna vile wanaamini ambapo ni tofauti na jamii nyingine, ni wewe ufuate wanavyo amini wao au uwaite wakabila.
 
Wadau sijui hii kama ni mimi tu nimeliona kuna hili la bar na nyumba za starehe kama clubs na vingine yaani asilimia 70 ya hivi vitu wamiliki ni wachaga yaani kila bar utasikia hiyo ya Kimaro sijui mara sijui Mushi mara sijui Lyimo hivi kuna Siri gani kwenye hili naomba nisieleweke vibaya siwasemi wachaga ila kuna kitu naona huku kwetu ndio nimekaa nawaza tu
Kutambika wachaga kila mwaka wanaenda kutambika makwao wanachinja wanafanya mila za kuwakumbuka ancestors wao.... nyie mko mwaka wa kumi huu dar hutak kurud kwenu kila kitu lzma kiwe ovyo!!!
 
Elimu elimu elimu! Umeshaambiwa 70% hivyo hesabu bar 10 bila kubagua. Ukipata 7 kati ya hizo ni za wachaga ndo 70% yenyewe. Rudia tena zoezi mara nyingi kadri uwezavyo
Sawa mkuu😁
 
Wachagga wana kitu kimoja ambacho kinawasaidia ktk biashara.
HOFU-huwa hawana hofu ya kuanzisha biashara mpya au kuhama kutoka ktk biashara moja kwenda nyingine. Huwa hawawazi kupoteza na akishaweka target yake ktk biashara flani huwa hakosei na hata akikosea ni kidogo na anaweza kujirekebisha ndani ya kipindi kifupi.
 
mfano anuani za makazi mchagga atafanya kila njia mtaa uitwe jina lake au babu yake hata kama anaishi mwanza au dar
 
Back
Top Bottom