Hivi wachaga pekee ndio mnaweza biashara ya bar au nyumba za starehe?

Hivi wachaga pekee ndio mnaweza biashara ya bar au nyumba za starehe?

Fika Arusha karibu asilimia themanini ya bar na Guest houses Yana majina ya vijjij vya uchagani ie: Machame Luxury, Keni, Rombo, Mkindi, Ngiwaranecha , Marangu, Mrina nk.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kule Tanga mjini Wachaga wamenunua zile nyumba za udongo na makuti za Wadigo na wamefanya guest house. Ukitembea katikati ya mji unakuta kuna mbuzi choma na bia, na ukilewa unachukua chumba.
Miaka ya themanini kuanzia barabara ya kwanza Hadi ya 21 kulikua na bar mbili. Moja TADECO barabara ya nne na Kilimanjaro barabara ya kumi. Sasa hivi Chuda imejaa mabaa Hadi kitimoto ipo.
Gesti Tanga zilikuwepo tangu enzi na enzi. Nahisi ni kwasababu dini ya haki inakemea pombe lakini haina shida na wageni wanaotokea Tanga mjini kwenda Tanga mjini.
 
Coffee Bar sikuhizi kuna Mchaga anapaendesha, nje kuna mchoma mbuzi. Enzi hizo zamani tulikwenda Tanga kutokea Muheza tukimaliza shopping Rekhana”s tunakwenda Coffee Bar. Palikua so classic.
 
Wadau sijui hii kama ni mimi tu nimeliona kuna hili la bar na nyumba za starehe kama clubs na vingine yaani asilimia 70 ya hivi vitu wamiliki ni wachaga yaani kila bar utasikia hiyo ya Kimaro sijui mara sijui Mushi mara sijui Lyimo hivi kuna Siri gani kwenye hili naomba nisieleweke vibaya siwasemi wachaga ila kuna kitu naona huku kwetu ndio nimekaa nawaza tu
Mimi sio Mchaga lakini nina appreciate kwamba Mchaga anazijua simple principles za biashara. Awe amesoms au la. Ukiacha Wachaga, watu wengine wengi hufungua bar kufuata mkumbo au showoff. Mchaga naturally, anajua customer care. Anajishusha kwa mteja. Sasa kwa mfano mdogo bar iwe ya Nshomile. Anawaona wateja kama watu wenye dhiki tu na matendo yake yako wazi kabisa. Kikubwa, Mchaga ana discipline kwenye matumizi ya hela ya biashara iwe bar au genge.
 
Wadau sijui hii kama ni mimi tu nimeliona kuna hili la bar na nyumba za starehe kama clubs na vingine yaani asilimia 70 ya hivi vitu wamiliki ni wachaga yaani kila bar utasikia hiyo ya Kimaro sijui mara sijui Mushi mara sijui Lyimo hivi kuna Siri gani kwenye hili naomba nisieleweke vibaya siwasemi wachaga ila kuna kitu naona huku kwetu ndio nimekaa nawaza tu
Tuanze kwanza na swala la elimu hawa jamaa wamejitahidi kuwekeza katika swala hili vizuri sana shule za secondary zinakimbilia 350 + sasa hapo tuu utaona tofauti kubwa ya hawa jamaa na jamii zingine
 
Wachaga Wana sifa nzuri, hawana majungu wala kuoneana wivu.
Ila ni wakabila balaaa!!
Si waamifu kwenye shughuli zao na janja janja nyingi sana. Wanakutajia bei kutokana na muonekano wako. Ukiwa na muonekano wa ki-sure, utabambikwa bei mara tatu ya bei ya kawaida. Madukani kwao wanatabia kama za ki-machinga. Kitu cha elfu mbili kama wewe una muonekano wa ki-sure, unabambikwa elfu nane. Haya yamenitokea mimi mara nyingi kwenye maduka yao. Taamaa ya kutajirika kwao imevunja mipaka.
 
Wewe tu una bahati mbaya mkuu,mchaga hana pigo hizo kabisa, kwanza anakuuzia kitu kwa bei nzuri ili kesho urudi tena na uendelee kuwa mteja wake. Nimemingle nao sana nawajua vizuri hawa watu.
 
Mi nimeamua nizisake noti tu kichwani ni kuwa ukabila upo Tanzania japo wa chini chini. Cha msingi fuata unachokiamini, mkuu maisha magumu pambana sana, tengeneza empire yako lakini kikubwa hakikisha watoto wanapata elimu nzuri nasisitiza hapa na maarifa nje ya vyeti.
Wewe huenda ulikosa hayo malezi wape wanao,,,muda watu wanabishana nani alianzisha kipi wewe na wanao ndo mtakuwa waamuzi wa maisha yao katika taifa hili katika nyanja mbalimbali.
Mimi ninaeongea hivi nina mtoto mmoja na ndiye ataenifungulia empire.
 
Ni kweli kwa hili
Walisumbua sana. Cheti chake ni huyo mjomba wake aliyemleta.
Walikuwa wasumbufu wakijua wana ndugu zao wanawalinda.
Vyeti vingine vikanunuliwa(wengine bado wapo). Aisee!! sitakuja kusahau! Wanapewa vyeo kama kugawa karanga, huku uwezo ziroo!
Halafu eti ndio anakuwa bosi wako! Hii nchi hii!!
 
Back
Top Bottom