johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni midebwedo[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2369]Mchaga awezi ingia kwenye kitu chenye short life span
Tena alicheza akiwa meneja wa Landrover Tanzania Ltd akiwa na digrii ya uinjiniaWatakuwepo mkuu, mfano yupo mkongwe Leodegar Tenga.
Kwa kweli hawawezi kuwa kama kina Ronaldo na Messi etc, kuwa unafanya kitu chenye short life span halafu unagain/unakuwa tajiri for the rest of your life span.Mchaga awezi ingia kwenye kitu chenye short life span
Musa Msangi Christopher Alex, mchagga na mpare wote wamecheza Simba kwa mafanikio.Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini...
Ila wewe jamaa una wawaza sana wachaga na Chadema! Mada zako nyingi ni kuhusu Chadema na Wachaga!Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini...
Unawajua Wana Paluhengo Lipuli FC?Ila wewe jamaa una wawaza sana wachaga na Chadema! Mada zako nyingi ni kuhusu Chadema na Wachaga!
Mbona hujatolea mifano ya wanyalukolo wenzako waliowahi kucheza/wanaocheza mpira, kabla ya kukimbilia kwa Wachaga? Au nyinyi fani yenu ni kunywa tu ulanzi na komoni?
Haya sasa tuambie mchezaji gani wa kitanzania unaweza kumchukulia kama aliyefanikiwa kimaisha kupitia mpira.... Mjumuishe na Samatta kabisa.Kwa kweli hawawezi kuwa kama kina Ronaldo na Messi etc, kuwa unafanya kitu chenye short life span halafu unagain/unakuwa tajiri for the rest of your life span.
Nimependa sana ulivyo comment yani umeona mbali sana.uko Very Visionary Brother.
Wachaga sio watu[emoji23][emoji23]Tena alicheza akiwa meneja wa Landrover Tanzania Ltd akiwa na digrii ya uinjinia
Sema wachaga wengi hupenda kushika pesa kila siku aone hela inaingia mkononi
.Hizo pesa za kusubiri hadi ligi hawataki.Wanaona bora wachome nyama chuma!!
Kuna utani pia wanasema huwezi kuta bendi ya wachaga sababu waliwahi kuunda bendi ya wachaga watupu kuanzia wapiga vyombo na waimbaji nk na wakaagiza vyombo vya gharama Ulaya na wakafanya mazoezi ya nguvu
Ugomvi ukaja wakati wanajadili nani akae mlangoni kwenye ukumbi watakapokuwa wanaimba atakayekuwa anapokea pesa za viingilio.Kila mwana bendi akawa anataka akae yeye mlangoni apokee pesa za viingilio .Hakuna aliyetaka kupanda jukwaani kutumbuiza .Kila mmoja haamini mwenzie kukaa mlangoni kupokea pesa za viingilio
Bendi ikavunjika wakauza vyombo wakagawana pesa kila mtu ajijue !! Ndio ukawa mwisho wa chaga jazz band na haijawahi anzishwa tena!!!
Basi wataje kwanza hao wachezaji wa hiyo Lipuli ambao ni Wanyalu, kabla ya kuhamia kwa wachaga.Unawajua Wana Paluhengo Lipuli FC?
Unacheza soka kisha unajipoza na Bamboo juice!
Mimi nadhani ni watu na nusu. Nimeoa uchaggani jamaa wamejipangaWachaga sio watu[emoji23][emoji23]