Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

Hawa majamaa kutoka chuga wamejaaliwa Hela tuu na siku hizi wale wenzangu kutoka ukanda uleeee wanawapiku..

Njoo kitandani awe na tako asiwe nalo, awe anavutia au laa Yani..........

Hawako romantic kabisa....

Mademu niwaonapo sitamani kabisa.....
 
labda unipe definition yako ya" kufanikiwa kimaisha" then nitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kujibu hilo swali Brother.
Tumia definition unayoielewa wewe. Ya kwangu itazidi kukupa sababu za kutokujibu
 
Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini.

Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro akina.Masatu na hata.Kibaden Mputa lakini sijamuona Massawe Mushi wala Kavishe

Hata kule Upareni hakunaga wasakata kabumbu

Why?
Wewe Mataga humjui Christopher Alex Masawe ?
 
Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini.

Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro akina.Masatu na hata.Kibaden Mputa lakini sijamuona Massawe Mushi wala Kavishe

Hata kule Upareni hakunaga wasakata kabumbu

Why?
Alex Masawe hukumsikia? Kuna dogo kwenye beki ya kulia ya Mtibwa Under20 anaitwa Mosha ni hatari sana.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
We bwashee ni mtoto wajuzi,kuna mwamba alieipeleka Simba robo fainali ya CAF pale Cairo ALEX MASSAWE
Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini.

Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro akina.Masatu na hata.Kibaden Mputa lakini sijamuona Massawe Mushi wala Kavishe

Hata kule Upareni hakunaga wasakata kabumbu

Why?
 
Ila wewe jamaa una wawaza sana wachaga na Chadema! Mada zako nyingi ni kuhusu Chadema na Wachaga!

Mbona hujatolea mifano ya wanyalukolo wenzako waliowahi kucheza/wanaocheza mpira, kabla ya kukimbilia kwa Wachaga? Au nyinyi fani yenu ni kunywa tu ulanzi na komoni?
Kama huyu bingwa hapa
 
Attachments

  • JamiiForums-1880515644.jpeg
    JamiiForums-1880515644.jpeg
    63.7 KB · Views: 10
Kama huyu bingwa hapa
Jamaa anataka kuona wachezaji wa Kichaga, na wakati hata huko Iringa aliko kwenyewe hakuna mchezaji mmoja mnyalu anayetambulika kwenye ligi kuu!

Imagine kama uliwahi kusikia jina kama Ng'umbi, Makombe, Mlembe, Ndanzi, Mbedule, Kisinini, Kihava, Muyinga, Mkwawa, Mgoda, Lukuvi, Mtavangu, Msambatavangu, Mdagasule, Mfugale, Msilu, Malangalila, Chelesi, Chalamila, Mhume, na wengineo wengi! Kwenye ligi kuu yetu!!!

Walau kwa sasa kuna Clara Luvanga! Tena ni mchezaji tu chipukizi wa timu ya wanawake!
 
Haya sasa tuambie mchezaji gani wa kitanzania unaweza kumchukulia kama aliyefanikiwa kimaisha kupitia mpira.... Mjumuishe na Samatta kabisa.
Kwamba wachagga wote wana maisha mazuri kuliko Samatta?

Hizi pigo za kujikweza sijui huwa mnazitoa wapi, niliwahi kusimamia project ya ujenzi huko Mwanza, na nikikuwa na wachagga wanne(nadhani walikuwa marafiki) ambao wote walikuwa ni wabeba tofali tu, hao nao wana haki ya kuudharau mpira au kulinganishwa na Samatta??

Huku mtaani nina marafiki na watu wengine ambao ninawajua (wachagga) hawana lolote na tunaishi nao, ila mkifika huku mitandaoni ni kama vile hakuna wachagga makapuku.

Acheni kujikweza, mnawaponza wenzenu.
 
Back
Top Bottom