Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

Aishi Manula? Leodgar Tenga? Brandon Kweka? Chris Massawe? Deo Munishi? Anyway wachagga talanta yetu ni kutafuta pesa, kabumbu tunawaachia wazaramo.
 
Back
Top Bottom