Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

Kwa kweli hawawezi kuwa kama kina Ronaldo na Messi etc, kuwa unafanya kitu chenye short life span halafu unagain/unakuwa tajiri for the rest of your life span. Nimependa sana ulivyo comment yani umeona mbali sana.uko Very Visionary Brother.
ukitaja wachezi walifanikia ulaya utakua unakosea, Wachaga hawapo ulaya.

Na ndio maana mtoa mada kawataja Mwakalebela, Minziro, Masatu.
 
Haya sasa tuambie mchezaji gani wa kitanzania unaweza kumchukulia kama aliyefanikiwa kimaisha kupitia mpira.... Mjumuishe na Samatta kabisa.
labda unipe definition yako ya" kufanikiwa kimaisha" then nitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kujibu hilo swali Brother.
 
Walikuwepo akina Leodger Tenga, John Makelele Zig Zag, David Rodgers, Said John, Michael John, Michael Godwin, Charles Mwanga, Prosper Mboya na wengine wengine sema wengi wao hawana yale majina ya kichaga yalio famous sana kwa wabongo. Nimesoma kanda ya kaskazini nimecheza nao mpira wengi umiseta.
 
mpira ni formula hakuna njia za mkato mkato, hakuna kufoji, hakuna uchawi wala matambiko haya saidii
Uko sahihi ingekuwa uchawi unasaidia timu za Simba na Yanga zingechukua kombe la dunia!!!

Uchawi wao wa kulogana humuhumu.nchini wao kwa wao.Simba kumloga yanga na yanga kumloga simba!! Sio wa kutwaa kombe la dunia
 
Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini.

Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro akina.Masatu na hata.Kibaden Mputa lakini sijamuona Massawe Mushi wala Kavishe

Hata kule Upareni hakunaga wasakata kabumbu

Why?
Mpira ukichezwa kwa nusu saa utatuona lakini dakika 90 biashara tutafanya saa ngapi, tulikataa uwanja wa mpira tulitaka uwe nusu kwingine tulime kahawa na migomba wakatugomea nasisi tukasema hatuutaki.
Wapare utakuwa unawaonea bure kwani wao wanamaumbile madogo na ni wafupi, mipira ya juu hawataiweza na mtawavunja miguu.
 
Tuache kutafuta hela kwa wakati tukapige mpira mateke?
 
Mpira ukichezwa kwa nusu saa utatuona lakini dakika 90 biashara tutafanya saa ngapi, tulikataa uwanja wa mpira tulitaka uwe nusu kwingine tulime kahawa na migomba wakatugomea nasisi tukasema hatuutaki.
Wapare utakuwa unawaonea bure kwani wao wanamaumbile madogo na ni wafupi, mipira ya juu hawataiweza na mtawavunja miguu.
Ni kweli kilimanjaro hakuna uwanja wa maana wa soka uko sahihi
 
Back
Top Bottom