Hivi wachambuzi wa bongo huwa mnawaelewa kweli?

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
Hope nyote wazima, wa afya tele!

Kuna wachambuzi hapa bongo huwa siwaelewi linapokuja suala la mpira, je! Ni mimi tu!

Hapo nyuma kulikua na mechi za ku Qualify kombe la dunia, na mashindano mengine, na nadhani wengi wenu mliangalia mechi hizo, ila baada ya mechi kuisha sijaona timu kubwa kama Morocco n.k tukiwekewa matokeo, na hii sio mara ya kwanza kwa timu za kiarabu kutowekewa matokeo pale tu wanaposhinda, ila wakifungwa utaona wachambuzi hawa wakiwahi kupost, hivyo sijajua shida ni nini, chuki ama ubaguzi kwa hawa wenzetu!

Mtu anaacha kupost matokeo ya mechi muhimu za ku Qualify kombe la dunia tena ya Morocco aliekiwasha, na akazisumbua timu kubwa kama Portugal na ufaransa w/cup 2022, na kutuwakilisha wa afrika 😄 halafu anakuja kutuwekea matokeo ya friendly matches za akina Portugal, Finland, Iceland, Luxembourg n.k 😃 aisee!

Hivi huwa mnawaelewa wachambuzi hawa? Hata kama utawachukia na kutotuwekea matokeo ya timu zao ilaa wachambuzi wakubwa na waliobobea wanatambua ubora wao hawa jamaa, so, wamebarikiwa kwanzia timu za taifa hadi vilabu wako vizuri,especially Morocco, egypt, Raja na Al Ahly. Mimi ni mmoja wa mafans wa Morocco 🇲🇦

So, Napinga sana ubaguzi, Mungu aniepushie mbali ubaguzi, wivu na chuki.

Usiku mwema!
 
Wao huko kwao hua wanachambua mechi zetu? Nionyeshe gazeti la Morocco lililo report habari ya Taifa stars kuifunga Zambia
 
Taifa stars na morocco 🇲🇦 wapi na wapi! Morocco the big and the best team in afrika na amefika Quarter final world cup 2022 utaicompare vipi na taifa stars ambae hata kufuzu tu hajawahi, kuchukua afcon hajawahi, in short kombe lolote la afrika hajawahi! Hiki ni kichekesho 😄

Hapa kuna kaulakini sio bure! Chuki na ubaguzi vinawatesha hawa wajomba
 
Acha kuhangaika na waarab!
Kumbuka hawana inshu na mtu mweusi...hata hiyo robo fainali unayosema walisema ni dedicated kwa Arabs achana nao
 
Ulisikia wakitamka hayo maneno? Au na wewe umewekewa caption na wabongo ukaingia mkingi bila kufanya research!
 
Taifa stars na morocco 🇲🇦 wapi na wapi! Morocco the big and the best team in afrika na amefika Quarter final world cup 2022 utaicompare vipi na taifa stars ambae hata kufuzu tu hajawahi, kuchukua afcon hajawahi, in short kombe lolote la afrika hajawahi! Hiki ni kichekesho 😄

Hapa kuna kaulakini sio bure! Chuki na ubaguzi vinawatesha hawa wajomba
Siku hizi technology imekua kama unataka kusikia habari za waarabu tune in online sikiliza redio zao au hamia huko
 
Kwa hiyo hao Portugal wanachambuaga mechi zetu au siyo?

Tena mechi za kirafiki tu hizo kamanda 😄hadi records za wachezaji zinapostiwa, mechi muhimu za kuwania kufuzu w/c mf Morocco kampiga congo goli 6, ila sijaona pundits ametuwekea, wamekazana na mafriendly matches na matenesi 😄
 
Kwani ni Morocco tu ndio kacheza WC qualification matches peke mbona hauja ulizia Senegal, Kenya,Ivory coast, Nigeria what so special for Morocco?
 
Ndo hapo sasa.
 
Ulisikia wakitamka hayo maneno? Au na wewe umewekewa caption na wabongo ukaingia mkingi bila kufanya research!
Kumbe hufatilii mpira na uko hapa JF kuponda wachambuzi wa mpira aseee
Anyway kombe lako la kwanza la dunia ni lipi kutazama?
 
Kwani ni Morocco tu ndio kacheza WC qualification matches peke mbona hauja ulizia Senegal, Kenya,Ivory coast, Nigeria what so special for Morocco?
kasema yeye ni mkereketwa wa Morocco.
 
Back
Top Bottom