BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
- #21
Ukiweka wewe matokeo ya hao Morocco si inatosha?
Mimi sio sports journalist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiweka wewe matokeo ya hao Morocco si inatosha?
Kwani ni Morocco tu ndio kacheza WC qualification matches peke mbona hauja ulizia Senegal, Kenya,Ivory coast, Nigeria what so special for Morocco?
Ndio maana mpira wetu hauendelei, baadhi yetu tunaendeshwa na chuki, wivu na ubaguziYa nini usumbuane nao wewe kuwa mchambuzi tu uwaweke hao wasiowekwa
Kila mcha mbuzi anajambo lake analopenda kwa nini ajiumize roho na kile asichokipenda?
Kumbe ulimtazama Mbona, Taribo West, Davor Suker, Rivaldo Zizou na golden era players halafu habari ya Morocco hiyo hukuifatilia!1998
Ukiona hivyo ujue demand ni ndogo alf si usha pata matokeo unataka uchambuzi gani tena?Kila mtu ana timu yake ya kushabikia, ila point yangu timu za waarabu ni asilimia chache kuletwa matokeo ukilinganisha na timu za weusi, hii ndio point yangu, ingia page ya shaffih dauda kama utakuta matokeo ya morocco siku tatu za nyuma, na si mara ya kwanza kwa timu za kaskazini
Ukiona hivyo ujue demand ni ndogo alf si usha pata matokeo unataka uchambuzi gani tena?
Wewe ndio una shida yani unampangia mtu cha kupost...Post wewe hayo matokeo yao kwani huna bundleHope nyote wazima, wa afya tele!
Kuna wachambuzi hapa bongo huwa siwaelewi linapokuja suala la mpira, je! Ni mimi tu!
Hapo nyuma kulikua na mechi za ku Qualify kombe la dunia, na mashindano mengine, na nadhani wengi wenu mliangalia mechi hizo, ila baada ya mechi kuisha sijaona timu kubwa kama Morocco n.k tukiwekewa matokeo, na hii sio mara ya kwanza kwa timu za kiarabu kutowekewa matokeo pale tu wanaposhinda, ila wakifungwa utaona wachambuzi hawa wakiwahi kupost, hivyo sijajua shida ni nini, chuki ama ubaguzi kwa hawa wenzetu!
Mtu anaacha kupost matokeo ya mechi muhimu za ku Qualify kombe la dunia tena ya Morocco aliekiwasha, na akazisumbua timu kubwa kama Portugal na ufaransa w/cup 2022, na kutuwakilisha wa afrika 😄 halafu anakuja kutuwekea matokeo ya friendly matches za akina Portugal, Finland, Iceland, Luxembourg n.k 😃 aisee!
Hivi huwa mnawaelewa wachambuzi hawa? Hata kama utawachukia na kutotuwekea matokeo ya timu zao ilaa wachambuzi wakubwa na waliobobea wanatambua ubora wao hawa jamaa, so, wamebarikiwa kwanzia timu za taifa hadi vilabu wako vizuri,especially Morocco, egypt, Raja na Al Ahly. Mimi ni mmoja wa mafans wa Morocco 🇲🇦
So, Napinga sana ubaguzi, Mungu aniepushie mbali ubaguzi, wivu na chuki.
Usiku mwema!
Cambiasso, Zanett, samwel walter, Petit, deschamps, oriel ortega, batistuta, de lima, bebeto, zambrota, del piero, francoo zola, sol Campbell, okocha, kanu, hassan sas, suker, Baggio n.kKumbe ulimtazama Mbona, Taribo West, Davor Suker, Rivaldo Zizou na golden era players halafu habari ya Morocco hiyo hukuifatilia!
Kuna mdau kauliza swali zuri mbona huko Morocco hawapost habari za Taifa stars kuifunga Zambia... Kumbuka Zambia ni timu kubwa na imechukua Afcon muongo mmoja uliopita... Hivo kumbe hata wao n wabaguzi kwann Sisi tuhangaike na habari zao?Cambiasso, Zanett, samwel walter, Petit, deschamps, oriel ortega, batistuta, de lima, bebeto, zambrota, del piero, francoo zola, sol Campbell, okocha, kanu, hassan sas, suker, Baggio n.k
Makipa
Bartez
Seaman
Peter schmeichel
Buffon n.k
Wao huko kwao hua wanachambua mechi zetu? Nionyeshe gazeti la Morocco lililo report habari ya Taifa stars kuifunga Zambia
Kwani ni Morocco tu ndio kacheza WC qualification matches peke mbona hauja ulizia Senegal, Kenya,Ivory coast, Nigeria what so special for Morocco?
Acha kuhangaika na waarab!
Kumbuka hawana inshu na mtu mweusi...hata hiyo robo fainali unayosema walisema ni dedicated kwa Arabs achana nao
Kuna mdau kauliza swali zuri mbona huko Morocco hawapost habari za Taifa stars kuifunga Zambia... Kumbuka Zambia ni timu kubwa na imechukua Afcon muongo mmoja uliopita... Hivo kumbe hata wao n wabaguzi kwann Sisi tuhangaike na habari zao?
Uingereza, spain au italy wanapost timu yetu? Au clubs zetu!Kuna mdau kauliza swali zuri mbona huko Morocco hawapost habari za Taifa stars kuifunga Zambia...
Morocco wenyewe hawakupendi wala hawana muda na wewe. Unajishobokea tu
Hawa si walishinda mechi world cup wakasema wao sio waafrika ni waarabu!
Wakafie mbele huko
Hizo nchi wachezaji wa kiafrika wetu wanacheza huko na tuna access ya kuangalia ligi zao so ni automatic tunajikuta tuna fatilia kinacho endelea huko, Je ligi ya Morocco inaonywesha kwenye king'amuzi gani na tunawafatilia kina nani?Uingereza, spain au italy wanapost timu yetu? Au clubs zetu!
Na je! Ulisikiliza au kuangalia journalists wao kama hawapost au kuchambua timu zetu?
Acha ubaguzi, morocco akitwaa kombe la dunia atakua ametuakilisha
Hujajibu swali, huko uingereza unakoshabikia timu zao, je! Wanahabari na sisi? Media au blog zao wanaleta matokeo ya taifa stars au clubs zetu simba na yanga! Au hata kuchambua timu zetu!Hizo nchi wachezaji wa kiafrika wetu wanacheza huko na tuna access ya kuangalia ligi zao so ni automatic tunajikuta tuna fatilia kinacho endelea huko, Je ligi ya Morocco inaonywesha kwenye king'amuzi gani na tunawafatilia kina nani?