Hivi wachezaji wakibanwa haja ndogo au kubwaa mchezo ukiwa unaendelea anaweza kutoka au kuna vitu wanakula?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili.

Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia

Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
 
Nishawahi kuwa mwanariadha wa mita 800, sijui haya mambo yalikuwa yananitokea mimi tu, kwenda haja saana kabla yakuingia mchezoni hari hiyo ilikuwa ikinipata sana. Hivyo hivyo na kwenye mpira wa kimashidano nilikuwaga namba 7 ya mbio sana
 
Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili.

Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia

Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
1. Hujiandaa kabla ya mchezo

2. Muda ni dakika 45 hadi 50 na siyo 90. Wakati wa mapumziko hupumzisha vyote.

3. Maji mengi hupotea kwa njia ya jasho hivyo hitaji la haja ndogo hupungua sana.

4. Kila jambo ukizoea kufanya kwa ratibu, mwili huzoea.
 
Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili.

Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia

Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
Kumbe hata mpira hujawahi kucheza na unavyojidai shabiki mandazi wewe.
 
Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili.

Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia

Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
Dk 45 huyo atakuwa mgonjwa hata hastaili kucheza mpira
 
Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili.

Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia

Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
Mkubwa nje ya mada kidogo. Fanya mchakato ubadili hili jina lako manake hali imekorogeka kidogo!
 
1729131682269.png
... hivi mtu anakimbia na kutoka jasho muda wote, mkojo utoke wapi?
 
Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili.

Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia

Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
Mwili unakuwa upo kwenye temper ya juu hivyo vyote vinajifunga kwa sisi tuliocheza
 
Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili.

Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia

Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
Dunia inaenda kasi sana, wenzio wana calculate nani kapiga pasi ngapi wewe unatafiti kwanini hakuna choo kati kati ya uwanja!
 
Back
Top Bottom