Hivi wachezaji wakibanwa haja ndogo au kubwaa mchezo ukiwa unaendelea anaweza kutoka au kuna vitu wanakula?

Nilimuonaga Eric Dier wa Tottenham Hotspur alitoka mchezo unaendelea akaenda chooni baadae akarejea
Sergio Ramos pia na hivi karibuni msimu uliopita Lamine Yamal aliofanya hivyo.

Ni jambo la kawaida na inaruhusiwa sema tu huwa haitokei mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…