Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Well notedMechi ya simba na yanga ni chanzo cha mapato cha TFF
Tumuulize karia🤣🤣Hawaruki ukuta ila wanapita geti lisilo rasmi. Chakujiuliza nani anawapa ufunguo wa hilo geti?
Uto ni walozi wanaweza kupita hata likiwa limefungwa🤣🤣Tumuulize karia🤣🤣
Kwenye sentensi yako ya mwanzo, umepatia vizuri kabisa. Hiyo ya pili ndiyo umechanga madesa.Hawaruki ukuta ila wanapita geti lisilo rasmi. Chakujiuliza nani anawapa ufunguo wa hilo geti?