Hivi wadada wa mjini mnawezaje

Hivi wadada wa mjini mnawezaje

Hivi inakuwaje kuwaje au wanatumia ndumba
Nilichokusudia kukueleza ni kwamba,wanaume hufikiri na kujiaminisha kwamba wanawake wana akili finyu.Si kweli.Kama anaweza kuwamiliki na kucheza na akili za wanaume zaidi ya wanne halafu umuone dhaifu basi haujitambui.Mwanamke ni kiumbe wa mahesabu na mbinumbinu hatari.Ndiyo maana ukishtuka na kuzijua unachanganyikiwa na unaweza hadi kuua mtu.Muombe Mungu akupe ufahamu.
 
Back
Top Bottom