Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado nazunguka bar hapa hadi kukuche......Bro tusalimiane kwanza, isije kuwa wote tume shinda hapo bar🤣😂
NB, am boy but am curious to know, naona majamaa zangu wanapigwa vizinga na hawaambiliki upuuzi!
simple tu mbon,,kila mmoja wilaya yake basi nakua na line kam zote😌 pia sera za kumwagaHebu funguka mkuu hivi mnawezaje kuwahudumia watu zaid ya kumi na kila mtu ana imani kuwa wewe ni demu wake tupe siri ya kambi
Off course wao ndio wenye majibu sahihi watuambie wanawezaje kuwapanga mijamaa foleni kutoka dar mpaka moro na misela isielewe kitu au wanatumia uchawiHii Thread siongei chochote mana ni kama umewa direct wao ndio wakupe majibu [emoji23][emoji23]
Bro ukishaanza kuwaza hayo mambo au kutaman jinsi wanavoishi soon unapoteza ubingwa🌈🌈🌈Unakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje?
Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi yake wakati kwenye ground haipo ivo cjui mnawezaje kuwaaminisha hao wote hadi wakuamini?
NB, am boy but am curious to know, naona majamaa zangu wanapigwa vizinga na hawaambiliki upuuzi!
anaeza taka kujua na akachunguza ila asijueMh inatisha sana kwaiyo mtu anakuwa hataki kujua ukweli wala kukuchunguza circle yako ya mahusiano
Hapana, tunu yako ni ya kipekee sana kama kufa kisa Me tuko wengi mimi si wa kwanza kufia kwenye kinena [emoji119][emoji16]Nikufunze namna ya kuchomoka hapo au unatakaje [emoji23][emoji23]
Yo boy is boylessUnakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje?
Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi yake wakati kwenye ground haipo ivo cjui mnawezaje kuwaaminisha hao wote hadi wakuamini?
NB, am boy but am curious to know, naona majamaa zangu wanapigwa vizinga na hawaambiliki upuuzi!
Mm mwenyewe nlikua nalo limoja ivi kumbe tulikua kama 20+ dem ukimcheki external appearance very innocent...afu wa kimbulu [emoji23][emoji23][emoji23]Off course wao ndio wenye majibu sahihi watuambie wanawezaje kuwapanga mijamaa foleni kutoka dar mpaka moro na misela isielewe kitu au wanatumia uchawi